Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

Pole sana mkuu! Huyo dada ipo siku atakukumbuka na kujutia makosa yake! Endelea tu na maisha yako utampata mwingine mwema. Inaonekana unajua kupenda na kujali wewe hadi raha😜
 
Hivi we jamaa hujisikii wepesi wowote baada ya kutokea tukio hili?
  1. Ulikua unalipa kodi 2 sasa hv imebaki 1
  2. Mlukuwa 3(wewe,mama na mtoto) sasa hv mmebaki 2 hivyo matumizi yamepungua na dogo hana matumizi kiviiile
  3. Safari za kwenda Dar zinacost sana sasa hv hazipo
Chukulia kama umepata ahueni ya maisha ni wakati mzuri wa kujipanga na maisha acha hiyo manzi utakufa bure we mtu, Kama mdau mmoja alivyosema hapa block mawasiliano yote,delete namba zake,delete kila kitu ikiwezekana badili namba hilo linakutafute muda wowote kuanzia sasa huyo jamaa alimpendea kitonga tu gharama ulikuwa unatoa wewe yule hawezi kujitoa kama wewe. Ulikuwa unahonga pakubwa we unakula padogo, watu kama nyie wachache sana unasumbuliwaje kihivi we jamaa?
 
Hujakosea mkuu! Itategemea na moyo utakavyokuwa umemdondokea.
Aiseh hata kama ni kupenda lazima kuwa na mipaka, sio kisa kumpenda mtu basi ndio ufikie level ya kunyanyasika kama huyu jamaa.
Kukaa karibu na moto wakati mwingine sio kuota bali ni kujiunguza, unajua mpaka Mungu anatupa sisi binadamu akili akawaacha viumbe wengine basi pia ni ili tuweze kuzitumia katika mambo kama haya ndio maana hata bibilia inasema wanaume tuishi na wanawake kwa akili, unadhani kwanini haikusema upendo peke yake ikaongeza na akili..

Unaweza kulazimisha mambo mengine lakini ni ngumu sana kulazimisha upendo, ni ngumu sana kumlazimisha mtu fulani akupende ni ngumu sanaaaa,, hivyo ni bora kukubali matokeo haijalishi yanaumiza kiasi gani ni heri kuliko kuendelea kujiumiza kwa mtu ambaye hana habari na wewe.
 
Kweli kabisa
 
Mapenzi ulevi eti mapenzi ni uteja,

Nakukumbusha tu Samson na nguvu zake zote za kuua simba kwa mikono lakini alinasa kwenye mikono ya delila, shida kila mtu anajiona jamaa ni kawa weak sana kitu ambacho sio yani, sifa kuu ya MWANAUME ni udhaifu kwenye MAPENZI unashangaa nini sasa, mtu unajifanya gangster kifala kwasababu gani inachekesha sana, tumshauri kwa kumpa matumaini mapya
Usitunie mfano wa Samson Mana alikuwa stupid why I force kitu kisicho reciprocate, maana mtu anajipeleka kwenye uharibifu why asi invest kwenye vitu vya msingi kuliko kuhangaika na kufuraisha
 
Nimekuwa Kwenye Mahusiano Na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi kwanza tufanye maisha mengine.
Kwenye Process za kupambana na Maisha Kuna Wakati tulitofautiana ikafanya akapata nafasi akawa anadate na mshkaji flani mfanyabiashara wa maeneo flani around Sinza Hapo. Niliumia ila kwa ajili nampenda sana na sikutaka mustakabali wa maisha yetu,mahusiano na malezi ya mtoto yawe magumu niliamua kujishusha nikamwomba msamaha na kumwahidi kumpangia sehemu nzuri na kumnunulia vitu vyote vya muhimu kwa ajili ya Maisha. Kipindi Hiki hakua na kazi so ilibidi nimchukue mtoto kumleta Dar akaja kukaa nae huku mimi nikijitahidi kila wiki kuja Dar kwa ajili yao. Maisha Yetu Yalirudi Kawaida yakawa Poa na Hata mawasiliano na yule mshkaji niliona yamepungua Kabisa Though Jamaa Nilikamata Mara Kadhaa Txt Zake Akiwa Anamsumbua warudiane akimshawishi kwa kumtumia hela alivyoweza .Lakini Mara Zote alikuwa akinionyesha hata the way alikua anamkataa jamaa nikazidi kumuamini. Nikajua Sasa ni kufanya Maisha na kujipanga kwa ajili ya future yetu,nikaanza kuhangaika kumtafutia kazi ili tu asije pata vishawishi huku nikiendelea kumtunza yeye na mtoto kwa kadiri nilivyoweza.
Mkuu trust me achana na huyo mwanamke yani sitaki kusema mengi lakini situation yako imetofautiana kidogo nilichowahi kukipitia. Ukiendelea anaye utakuwa unafight kumfurahisha yeye wewe hutoendelea lakini hata juhudi zako hatokaa azione hata siku moja. Atakuwa anafurahia unachomfanyia kwa muda huo ila ikipita hata dakika 30 anasahau kama vile hujawahi mfanyia chochote.
Ila we mpotezee miezi kadhaa atakutafuta na akikutafuta usikubali kurudiana naye na mkuu utaona unafanikiwa maana pesa nyingi ulikuwa unazitumia kwake badala ya kuwekeza.
Hao ni wale wanawake ambao uwa hawaridhiki hata ufanye nini. Narudia tena usithubutu kurudiana naye mkuu hutokaa uendelee.
 
Pole sana mkuu! Huyo dada ipo siku atakukumbuka na kujutia makosa yake! Endelea tu na maisha yako utampata mwingine mwema. Inaonekana unajua kupenda na kujali wewe hadi raha
Hadi raha wakati mwenzako anateseka
Huyu jamaa angekua ndugu yangu haki ya Mungu ningemfungia ndani nimcharaze viboko kutwa mara tatu kama dozi within a week akili zingemkaa sawa ..
 
Nimekuwa Kwenye Mahusiano Na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi kwanza tufanye maisha mengine.
Kwenye Process za kupambana na Maisha Kuna Wakati tulitofautiana ikafanya akapata nafasi akawa anadate na mshkaji flani mfanyabiashara wa maeneo flani around Sinza Hapo. Niliumia ila kwa ajili nampenda sana na sikutaka mustakabali wa maisha yetu,mahusiano na malezi ya mtoto yawe magumu niliamua kujishusha nikamwomba msamaha na kumwahidi kumpangia sehemu nzuri na kumnunulia vitu vyote vya muhimu kwa ajili ya Maisha. Kipindi Hiki hakua na kazi so ilibidi nimchukue mtoto kumleta Dar akaja kukaa nae huku mimi nikijitahidi kila wiki kuja Dar kwa ajili yao. Maisha Yetu Yalirudi Kawaida yakawa Poa na Hata mawasiliano na yule mshkaji niliona yamepungua Kabisa Though Jamaa Nilikamata Mara Kadhaa Txt Zake Akiwa Anamsumbua warudiane akimshawishi kwa kumtumia hela alivyoweza .Lakini Mara Zote alikuwa akinionyesha hata the way alikua anamkataa jamaa nikazidi kumuamini. Nikajua Sasa ni kufanya Maisha na kujipanga kwa ajili ya future yetu,nikaanza kuhangaika kumtafutia kazi ili tu asije pata vishawishi huku nikiendelea kumtunza yeye na mtoto kwa kadiri nilivyoweza.
Ilikua niko tayari kubaki hata na njaa ila nitimize mahitaji yao,Hata nikiwa na elfu 20 nitatuma 19 nabaki na elfu moja ilimradi niipambanie familia yangu. Nakatiza mwaka mzima sibadili nguo mpya wala viatu ilimradi familia iwe sawa. Nagombana na mwenye nyumba wangu nalimbikiza madeni ya kodi Lakini sikutaka kabisa nimpe stress za pango. Nimejikuta kwenye matatizo mengi lakini sikutaka kabisa yaniondoe kwenye Reli ya kumpambania yeye na mtoto.
Nikaachana na wanawake,nikapambana usiku na mchana,nafanya kazi ofisi 'A' Mchana usiku naingia office 'B' Nikaanzisha my side bussiness,Nasafiri usiku na mchana kwa ajili ya biashara zangu Yote kwa ajili ya kuhakikisha tunakua sawa.
Nikampangishia nyumba maeneo ya Sinza,baadae nimemhamisha kwenda kwenye nyumba kubwa zaidi maeneo ya Mbezi!
Hivi Karibuni kulitokea mgongano kati yetu uliofanya tujipe space kwa mda kwa ajili ya kujitathmini. Ila Nimekuja Kugundua Mwenzangu anatumia nafasi hio kunicheat Na amerudiana na mshkaji yule wa mwanzo na mara nyingi anaenda pale nyumbani!
Nimejaribu kuongea nae ila amenionyesha kama vile ndio maisha aliyoamua na hajali chochote nitakachoamua! Tumegombana Sana kabla ya mkesha wa christmas akawa ananijibu alivyojisikia akafikia hatua akanitukana tusi moja lisilovumilika nikamchapa vibao kama vitatu Vikamuachia Alama Za kutosha.Niliumia Kwa Kufanya Vile Na Asubuhi iliyofuata Nilimwomba mshamaha sana na kuonyesha nimejutia kile kitendo kwa,Sikutaka kabisa kwenye maisha yangu to put hand on my woman!.Sipendi Kumuumiza cz najua akiumia mi naumia zaidi.Akatumia kile kigezo kupata nguvu ya kuamua anachotaka! akaanza kuwasiliana na jamaa kwa nguvu zote ikabidi nimyangany'e simu kwanza! usiku wa siku hiyo akaniambia anaondoka anaenda kwao,nikamuuliza vipi kuhusu mtoto akanijibu ''Kwani Umenikuta Na Mtoto??'' Akaniambia nimpe simu yangu ya kitochi kama sitaki Kumpa smartphone yake! nikampatia,Akaondoka kwa hasira nikamfuata nyuma nikiwa na boxer tu mpaka nje nikamkuta anapiga simu nikamnyang'anya Kuangalia anampigia nani nikakuta ni namba za yule jamaa! Nikarudi nyumbani nikamuacha aende nikafika nikamuandaa mwanangu kwa ajili ya kuondoka sababu sikua na cha kufanya zaidi na nisingeweza kumuacha! Asubuhi nikaondoka Siku Ya chirstmas nikaondoka nae kurudi Arusha! nikampigia simu mama kumjulisha mjukuu wake anakuja kumsalimia.Tukawa Tumerudi Na Mwanangu na kumuacha. Nikachunguza Kimya Kimya Nikagundua wameanza tena mahusiano na mshkaji na kuna siku nilikuja bila yeye kujua mpaka Dar nikalihakikisha hilo! nikaondoka Nikiumia Machozi Yakinitoka Bila Kumwambia Chochote! Nikakaa Nalo moyoni mpaka jana namuulizia kuhusu uwezekano wa kupata cheti cha mtoto kwa ajili ya taratibu za shule! nikamwambia nitakuja Dar kukichukua akaniambia Akanipa Onyo Nisifike sehemu anakaa! Nikamwambia Hicho anachokificha mimi nakijua though sijawahi muambia! akapanik akanijibu ''Ndio Kiko Hivyo Unavyojua... Usinisumbue,Sitaki Kuchanganywa akili It Doesn't Matter Anaenda Pale or Not Hainihusu!! Akaniblock.
Na Kinachonniumiza zaidi kuna wakati wakiwa kwenye mahusiano na huyu mshkaji alikua hataki hata nijue anapokaa kwa kusema sio heshima mimi kufika sehemu aliyopangishiwa na mwanaume mwingine.Akaniambia nifanye mpango tu wa kumhamisha ili tuwe huru ila sio mimi kwenda Pale.Sasa Nawaza kama Aliweza Kufanya Vile Kwangu Wakati Ule,Kwanini ameweza kumruhusu mtu yule,yule alienizuia mimi kujua/kwenda wanapokaa Leo ndio anaenda mimi nilipompangishia tena bila aibu huku akijua kabisa kwamba mpaka tunahamia pale majirani walituona tukiwa nae na mtoto wetu tumeishi kwa mda kabla ya kutokea misunderstanding. Nampenda,Nimelia,Nimeumia Mpaka Mda Huu ameniblock! nawaza alikua ananitumia kama daraja au ndio hali ya kuyumba kidogo kiuchumi imesababisha yote haya! Nikimuuliza ananiambia nimuache afanye maisha kwanza tutayejenga mbeleni!. Sasa niko Njia Panda,nimeongea nimefika mwisho.Hapa Nilipo Nawaza nikafanye ambush la kushtukiza usiku nikipate ushahidi niwaondoe wote nifunge nyumba wakafanye Maisha yao sehemu nyingine! Au nikaushe niamue kumuachia Mungu! Naombeni Ushauri!
Ingekua mm mbona zamani tu nishamaliza, siwezitoa Hv kwa mtu ambae hanitaki
 
Mi sio mzuri kwenye ushauri, ila trust " I'M SURE ATARUDI"
 
MkUu Ushauri
Aachana kbsa na Huyoo Bintii
Endelea kutafuta Pesa Ziadi ya mwanzo
Lea mToto

NB:-Japo ukijua atakuja kukuajarbu kuptia Huyo mToto Wenu (na anawez kuja kukwambia mToto si wako)

Kumbuka usije mpa second chance yoyote msahau kabsa mwanamke akifanya mistake akaomba msamaha si kwamba Hatorudia but atarudia kwa namna nyingne.

Mwisho
Pole Sana Kjn mwenzangu
Tafuta Pesa x1000000000000000000

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
tatizo la kuanzia mapenzi ukubwani ndo hili,hauwezi kukomaa kwenye mapenzi bila kupitia pilika hizi,mtoto kamwe asikufanye ukang'ang'ania mwanamke cz je ungefariki wakati ana mimba huyo mtoto angeishije kwenye huu ulimwengu?shukuru mungu kakupa hili liwe kama funzo ktk maisha yako nadhani nw utakuwa balozi mzur kuelezea jinsi mapenzi yalivyo machungu hasa ukipenda,move on,move on nasema move on kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom