Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

Kaka wewe mpumbavu sana..sio mjinga, ni mpumbavu. Jua hilo tu. Kuna scenario ikitokea unajua tu hapa hamna kitu. Yaank nimesoma uzi wako, umenikera, nikabaki najiuliza uanaume wako uko wapi? Kuna vitu unatakiwa kuonyesha uanaume, usimame kama mwanaume, mwanaume hutakiwi kuyumbishwa kama wewe unavyoyumbishwa.

Umefumania meseji, bado upo tu...unamfuatilia demu, unaona anawasiliana na bwana wake, bado upo tu. Aisee mbaba pokea tuzo, huo moyo wa kishujaa ila ni wa kipumbavu mno.

Unalazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka tena? Damn! Huo ni upumbavu kaka. Kuna mambo tunayaandika kwenye simulizi kama kufuraisha kumbe kuna watu wa namna hiyokuna jamaa hapo amecomment kwa kusema wanaune tumepungua...nahisi ni kweli.

Halafu kwa hayo yote bro umepata nguvu ya kushika simu na kutuandikia? Basi acha nikushauri....BRO! HUYO DEMU ENDELEA KUWA NAYE, MNG'ANG'ANIE, NENDA KWAKE, KAPAMBANIE PENZI LAKO USIKUBALI LIONDOKE

Mambo mengine si ya kuomba ushauri...ukiyaona tu...unajishauri mwenyewe. Sasa ww endelea kumfuatilia uchomwe kisu ufe. Manake ndicho u achokitaka.
 
Kama kweli upo njia panda pasua Nazi,

Ipo hivi embu pambana tena kama mwanzo ulivyokuwa unapambana lkn sasa pambana kwa ajili yako na mwanao sio mwanamke tena, ipo cku nitaleta kisa changu hapa lkn wanawake usiwaaamini hata chembe,

Huyo yupo kimaslai zaidi ile nyumbani uliopanga nakushauli ukahamishe vitu vyoote maana ipo cku utakuta ameuza vyoote na ukimuuliza atakuambia ule urithi wa mwanae,

Uza kila kitu rudisha nyumbani kwa mwenyewe nawe mblock acha na habari za mtoto kiufupi mpitezeee na ikiwezekana anzisha mahusiano mengine sehemu nyinginee kwa mwanamke mwingineee muanze maisha menginee mpate watoto wengineee . owa kabisaaaa kwa maaana yule mtasumbuana kwenye dini
Tupe kisa chako
 
Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi kwanza tufanye maisha mengine.

Kwenye Process za kupambana na Maisha Kuna Wakati tulitofautiana ikafanya akapata nafasi akawa anadate na mshkaji flani mfanyabiashara wa maeneo flani around Mwenge Hapo.

Niliumia ila kwa ajili nampenda sana na sikutaka mustakabali wa maisha yetu,mahusiano na malezi ya mtoto yawe magumu niliamua kujishusha nikamwomba msamaha na kumwahidi kumpangia sehemu nzuri na kumnunulia vitu vyote vya muhimu kwa ajili ya Maisha. Kipindi Hiki hakua na kazi so ilibidi nimchukue mtoto kumleta Dar akaja kukaa nae huku mimi nikijitahidi kila wiki kuja Dar kwa ajili yao.

Maisha Yetu Yalirudi Kawaida yakawa Poa na Hata mawasiliano na yule mshkaji niliona yamepungua Kabisa Though Jamaa Nilikamata Mara Kadhaa Txt Zake Akiwa Anamsumbua warudiane akimshawishi kwa kumtumia hela alivyoweza .Lakini Mara Zote alikuwa akinionyesha hata the way alikua anamkataa jamaa nikazidi kumuamini.

Nikajua Sasa ni kufanya Maisha na kujipanga kwa ajili ya future yetu,nikaanza kuhangaika kumtafutia kazi ili tu asije pata vishawishi huku nikiendelea kumtunza yeye na mtoto kwa kadiri nilivyoweza.

Ilikua niko tayari kubaki hata na njaa ila nitimize mahitaji yao,Hata nikiwa na elfu 20 nitatuma 19 nabaki na elfu moja ilimradi niipambanie familia yangu. Nakatiza mwaka mzima sibadili nguo mpya wala viatu ilimradi familia iwe sawa. Nagombana na mwenye nyumba wangu nalimbikiza madeni ya kodi Lakini sikutaka kabisa nimpe stress za pango. Nimejikuta kwenye matatizo mengi lakini sikutaka kabisa yaniondoe kwenye Reli ya kumpambania yeye na mtoto.

Nikaachana na wanawake,nikapambana usiku na mchana,nafanya kazi ofisi 'A' Mchana usiku naingia office 'B' Nikaanzisha my side bussiness,Nasafiri usiku na mchana kwa ajili ya biashara zangu Yote kwa ajili ya kuhakikisha tunakua sawa.

Nikampangishia nyumba maeneo ya Sinza,baadae nimemhamisha kwenda kwenye nyumba kubwa zaidi maeneo ya Tegeta.
Hivi Karibuni kulitokea mgongano kati yetu uliofanya tujipe space kwa mda kwa ajili ya kujitathmini. Ila Nimekuja Kugundua Mwenzangu anatumia nafasi hio kunicheat Na amerudiana na mshkaji yule wa mwanzo na mara nyingi anaenda pale nyumbani!

Nimejaribu kuongea nae ila amenionyesha kama vile ndio maisha aliyoamua na hajali chochote nitakachoamua! Tumegombana Sana kabla ya mkesha wa christmas akawa ananijibu alivyojisikia akafikia hatua akanitukana tusi moja lisilovumilika nikamchapa vibao kama vitatu Vikamuachia Alama Za kutosha.

Niliumia Kwa Kufanya Vile Na Asubuhi iliyofuata Nilimwomba mshamaha sana na kuonyesha nimejutia kile kitendo kwa,Sikutaka kabisa kwenye maisha yangu to put hand on my woman!.Sipendi Kumuumiza cz najua akiumia mi naumia zaidi.Akatumia kile kigezo kupata nguvu ya kuamua anachotaka! akaanza kuwasiliana na jamaa kwa nguvu zote ikabidi nimyangany'e simu kwanza!

Usiku wa siku hiyo akaniambia anaondoka anaenda kwao,nikamuuliza vipi kuhusu mtoto akanijibu ''Kwani Umenikuta Na Mtoto??'' Akaniambia nimpe simu yangu ya kitochi kama sitaki Kumpa smartphone yake! nikampatia,Akaondoka kwa hasira nikamfuata nyuma nikiwa na boxer tu mpaka nje nikamkuta anapiga simu nikamnyang'anya Kuangalia anampigia nani nikakuta ni namba za yule jamaa!

Nikarudi nyumbani nikamuacha aende nikafika nikamuandaa mwanangu kwa ajili ya kuondoka sababu sikua na cha kufanya zaidi na nisingeweza kumuacha! Asubuhi nikaondoka Siku Ya chirstmas nikaondoka nae kurudi Arusha! nikampigia simu mama kumjulisha mjukuu wake anakuja kumsalimia.

Tukawa Tumerudi Na Mwanangu na kumuacha. Nikachunguza Kimya Kimya Nikagundua wameanza tena mahusiano na mshkaji na kuna siku nilikuja bila yeye kujua mpaka Dar nikalihakikisha hilo! nikaondoka Nikiumia Machozi Yakinitoka Bila Kumwambia Chochote! Nikakaa Nalo moyoni mpaka jana namuulizia kuhusu uwezekano wa kupata cheti cha mtoto kwa ajili ya taratibu za shule!

Nikamwambia nitakuja Dar kukichukua akaniambia Akanipa Onyo Nisifike sehemu anakaa! Nikamwambia Hicho anachokificha mimi nakijua though sijawahi muambia! akapanik akanijibu ''Ndio Kiko Hivyo Unavyojua... Usinisumbue,Sitaki Kuchanganywa akili It Doesn't Matter Anaenda Pale or Not Hainihusu!! Akaniblock.

Na Kinachonniumiza zaidi kuna wakati wakiwa kwenye mahusiano na huyu mshkaji alikua hataki hata nijue anapokaa kwa kusema sio heshima mimi kufika sehemu aliyopangishiwa na mwanaume mwingine.Akaniambia nifanye mpango tu wa kumhamisha ili tuwe huru ila sio mimi kwenda Pale.

Sasa Nawaza kama Aliweza Kufanya Vile Kwangu Wakati Ule,Kwanini ameweza kumruhusu mtu yule,yule alienizuia mimi kujua/kwenda wanapokaa Leo ndio anaenda mimi nilipompangishia tena bila aibu huku akijua kabisa kwamba mpaka tunahamia pale majirani walituona tukiwa nae na mtoto wetu tumeishi kwa mda kabla ya kutokea misunderstanding.

Nampenda,Nimelia,Nimeumia Mpaka muda Huu ameniblock! nawaza alikuwa ananitumia kama daraja au ndio hali ya kuyumba kidogo kiuchumi imesababisha yote haya! Nikimuuliza ananiambia nimuache afanye maisha kwanza tutayejenga mbeleni!. Sasa niko Njia Panda,nimeongea nimefika mwisho.

Hapa Nilipo Nawaza nikafanye ambush la kushtukiza usiku nikipate ushahidi niwaondoe wote nifunge nyumba wakafanye Maisha yao sehemu nyingine! Au nikaushe niamue kumuachia Mungu! Naombeni Ushauri!
Mrejesho?? Leo ni mwezi wa tano mwaka 2022, amekutafuta???
 
Sasa kama mtoto unae, uoni umepiga bao. Mwache aishi maisha aliyoyachagua tafuta hela mkuu
 
Mkuu una umri gani?

Naona umelitumia sana neno " nikalia", yaani wewe ukalia chozi la maji tiririka, dah!

Mwanaume usipende kufanya hilo tendo wala kusimulia, hata kama lilikutokea!

"Kulia" ni kitendo cha mwisho cha kuonesha udhalili na udhaifu kwa mwanaume!

Usije kurudia tena kuzungunza namna hiyo mbele za watu.

Ninajua aina ya mhemko wa penzi ulilonalo kwa huyo mwanamke, lakini sasa tukikushauri kwa kubwabwaja tutakupoteza.

Katika kuyaishi mapenzi, kuna madaraja au vyeo: kuna ndoa, ukimada ama uhawara, lazima madaraja yote uyaelewe, na je katika mrorongo mojawapo ya huo, una haki yoyote kisheria?

Sasa madaraja yote hayo yana sheria zake na hadhi zake ambazo sitazieleza hapa!

Na uelewe kwamba mwanamke anayekupiga dana dana kwenye suala la kufunga ndoa, elewa wazi hana malengo yoyote na wewe, jitathimini na kuchukua hatua kabla haujachelewa.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati na wa maisha yako huwa hajifichi, wala hauwezi kuhangaika naye kumfuatilia kama unavyoteseka wewe kwa mwanamke huyo.

Kuanza upya siyo ujinga ndg, tuliza akili tafuta pole pole mwanamke wa maisha yako aliye bora, ili upate kuyafurahia maisha.

Huyo kiruka njia achana naye kabisa haraka iwezekanavyo haujachelewa na uelewe kwamba huyo mwanamke unayemuongelea, hauna namna yoyote utakayoweza kumgeuza na kuwa mwanamke bora wa maisha yako zaidi ya kukupatia stress na misongo mingine ya mawazo.
Ukiona mwanamke yuko bize, jua anatumika na anakucheat, achana naye, kwani kuachana bei gani, eh, kwani kuachana sh. Ngapi?
 
Wakijua wanapendwa hawa Viumbe wanakunyoosha kweli kweli alafu huyo Jamaa yake akimpiga chini atadai mrudiane
 
Mtoto tayari niko nae,aliniachia kwa hasira kwenye mkesha wa Christmas nikiwa Dar Nikaamua kumchukua next morning nikaja nae Arusha! Namfanyia utaratibu aingie Shule huku huku wiki hii!
You are done. Kaa lea mwanao achana na mwanamke malaya, mi sio mtabiri, huyo dada atarudi akupigie magoti siku sio nyingi.maana wanaume huwa tunataka tusixhokijua na hatutaki tunachokijua. Jamaa anagonga anapiata tu
 
Ikiwezekana avute Goma jipya waanze maisha
 
wamerudiana wanaendelea kulea mtoto.. kikubwa ogopa sana kuzama kwenye mapenzi ukiwa mtu mzimaaa utateseka snaa
 
Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi kwanza tufanye maisha mengine.
nimuache afanye maisha kwanza tutayejenga mbeleni!. Sasa niko Njia Panda,nimeongea nimefika mwisho.

Hapa Nilipo Nawaza nikafanye ambush la kushtukiza usiku nikipate ushahidi niwaondoe wote nifunge nyumba wakafanye Maisha yao sehemu nyingine! Au nikaushe niamue kumuachia Mungu! Naombeni Ushauri!
Acha ujinga ww.Mungu hakukupangia huyo.achana nae Mungu atakupa mwingine mwenye hekima na upendo wa dhati.huyo ni wale tunaita Money Mongers.Atajutia tu Wala si muda mrefu.shukueu umepona kupata ukimwi.lea.mtt atakufaa maishani.Hakika Dhahabu safi hupita kwenye Tanuri la moto.ila huenda naww uliwahi muumiza bontenzi hizo.pole
 
Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi kwanza tufanye maisha mengine.

Kwenye Process za kupambana na Maisha Kuna Wakati tulitofautiana ikafanya akapata nafasi akawa anadate na mshkaji flani mfanyabiashara wa maeneo flani around Mwenge Hapo.

Niliumia ila kwa ajili nampenda sana na sikutaka mustakabali wa maisha yetu,mahusiano na malezi ya mtoto yawe magumu niliamua kujishusha nikamwomba msamaha na kumwahidi kumpangia sehemu nzuri na kumnunulia vitu vyote vya muhimu kwa ajili ya Maisha. Kipindi Hiki hakua na kazi so ilibidi nimchukue mtoto kumleta Dar akaja kukaa nae huku mimi nikijitahidi kila wiki kuja Dar kwa ajili yao.

Maisha Yetu Yalirudi Kawaida yakawa Poa na Hata mawasiliano na yule mshkaji niliona yamepungua Kabisa Though Jamaa Nilikamata Mara Kadhaa Txt Zake Akiwa Anamsumbua warudiane akimshawishi kwa kumtumia hela alivyoweza .Lakini Mara Zote alikuwa akinionyesha hata the way alikua anamkataa jamaa nikazidi kumuamini.

Nikajua Sasa ni kufanya Maisha na kujipanga kwa ajili ya future yetu,nikaanza kuhangaika kumtafutia kazi ili tu asije pata vishawishi huku nikiendelea kumtunza yeye na mtoto kwa kadiri nilivyoweza.

Ilikua niko tayari kubaki hata na njaa ila nitimize mahitaji yao,Hata nikiwa na elfu 20 nitatuma 19 nabaki na elfu moja ilimradi niipambanie familia yangu. Nakatiza mwaka mzima sibadili nguo mpya wala viatu ilimradi familia iwe sawa. Nagombana na mwenye nyumba wangu nalimbikiza madeni ya kodi Lakini sikutaka kabisa nimpe stress za pango. Nimejikuta kwenye matatizo mengi lakini sikutaka kabisa yaniondoe kwenye Reli ya kumpambania yeye na mtoto.

Nikaachana na wanawake,nikapambana usiku na mchana,nafanya kazi ofisi 'A' Mchana usiku naingia office 'B' Nikaanzisha my side bussiness,Nasafiri usiku na mchana kwa ajili ya biashara zangu Yote kwa ajili ya kuhakikisha tunakua sawa.

Nikampangishia nyumba maeneo ya Sinza,baadae nimemhamisha kwenda kwenye nyumba kubwa zaidi maeneo ya Tegeta.
Hivi Karibuni kulitokea mgongano kati yetu uliofanya tujipe space kwa mda kwa ajili ya kujitathmini. Ila Nimekuja Kugundua Mwenzangu anatumia nafasi hio kunicheat Na amerudiana na mshkaji yule wa mwanzo na mara nyingi anaenda pale nyumbani!

Nimejaribu kuongea nae ila amenionyesha kama vile ndio maisha aliyoamua na hajali chochote nitakachoamua! Tumegombana Sana kabla ya mkesha wa christmas akawa ananijibu alivyojisikia akafikia hatua akanitukana tusi moja lisilovumilika nikamchapa vibao kama vitatu Vikamuachia Alama Za kutosha.

Niliumia Kwa Kufanya Vile Na Asubuhi iliyofuata Nilimwomba mshamaha sana na kuonyesha nimejutia kile kitendo kwa,Sikutaka kabisa kwenye maisha yangu to put hand on my woman!.Sipendi Kumuumiza cz najua akiumia mi naumia zaidi.Akatumia kile kigezo kupata nguvu ya kuamua anachotaka! akaanza kuwasiliana na jamaa kwa nguvu zote ikabidi nimyangany'e simu kwanza!

Usiku wa siku hiyo akaniambia anaondoka anaenda kwao,nikamuuliza vipi kuhusu mtoto akanijibu ''Kwani Umenikuta Na Mtoto??'' Akaniambia nimpe simu yangu ya kitochi kama sitaki Kumpa smartphone yake! nikampatia,Akaondoka kwa hasira nikamfuata nyuma nikiwa na boxer tu mpaka nje nikamkuta anapiga simu nikamnyang'anya Kuangalia anampigia nani nikakuta ni namba za yule jamaa!

Nikarudi nyumbani nikamuacha aende nikafika nikamuandaa mwanangu kwa ajili ya kuondoka sababu sikua na cha kufanya zaidi na nisingeweza kumuacha! Asubuhi nikaondoka Siku Ya chirstmas nikaondoka nae kurudi Arusha! nikampigia simu mama kumjulisha mjukuu wake anakuja kumsalimia.

Tukawa Tumerudi Na Mwanangu na kumuacha. Nikachunguza Kimya Kimya Nikagundua wameanza tena mahusiano na mshkaji na kuna siku nilikuja bila yeye kujua mpaka Dar nikalihakikisha hilo! nikaondoka Nikiumia Machozi Yakinitoka Bila Kumwambia Chochote! Nikakaa Nalo moyoni mpaka jana namuulizia kuhusu uwezekano wa kupata cheti cha mtoto kwa ajili ya taratibu za shule!

Nikamwambia nitakuja Dar kukichukua akaniambia Akanipa Onyo Nisifike sehemu anakaa! Nikamwambia Hicho anachokificha mimi nakijua though sijawahi muambia! akapanik akanijibu ''Ndio Kiko Hivyo Unavyojua... Usinisumbue,Sitaki Kuchanganywa akili It Doesn't Matter Anaenda Pale or Not Hainihusu!! Akaniblock.

Na Kinachonniumiza zaidi kuna wakati wakiwa kwenye mahusiano na huyu mshkaji alikua hataki hata nijue anapokaa kwa kusema sio heshima mimi kufika sehemu aliyopangishiwa na mwanaume mwingine.Akaniambia nifanye mpango tu wa kumhamisha ili tuwe huru ila sio mimi kwenda Pale.

Sasa Nawaza kama Aliweza Kufanya Vile Kwangu Wakati Ule,Kwanini ameweza kumruhusu mtu yule,yule alienizuia mimi kujua/kwenda wanapokaa Leo ndio anaenda mimi nilipompangishia tena bila aibu huku akijua kabisa kwamba mpaka tunahamia pale majirani walituona tukiwa nae na mtoto wetu tumeishi kwa mda kabla ya kutokea misunderstanding.

Nampenda,Nimelia,Nimeumia Mpaka muda Huu ameniblock! nawaza alikuwa ananitumia kama daraja au ndio hali ya kuyumba kidogo kiuchumi imesababisha yote haya! Nikimuuliza ananiambia nimuache afanye maisha kwanza tutayejenga mbeleni!. Sasa niko Njia Panda,nimeongea nimefika mwisho.

Hapa Nilipo Nawaza nikafanye ambush la kushtukiza usiku nikipate ushahidi niwaondoe wote nifunge nyumba wakafanye Maisha yao sehemu nyingine! Au nikaushe niamue kumuachia Mungu! Naombeni Ushauri!
Acha ufala move on wewe ,unateswa na wanawake wanaoshinda Kwa mwamposa wakitafuta wanaume...wewe kuwa na misimamo ya alshababab...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom