Nimejitaidi kuishabikia kenya ila kila wakienda langoni mwetu nashika kichwa. Samahani utaifa sio jambo la kawaida.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Siwezi sema Sana ila siku ya leo nilijitaidi kuishabikia kenya ila mwisho wa siku nimejikuta ninashabikia Tanzania. Sijui ndo nn iki? Toka mwanzo nilijiapiza mwenyewe kwamba kama timu ya taifa imeingiliwa na wanasiasa basi mm leo nitakuwa shabiki wa Kenya ila mpaka sasa naandika nipo bar nakunywa naona haibu mwenyewe
 

Francis3

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
491
1,000
https://jamiiforums.com/gsnBqzumRX


*vocha za bure vocha za bure kabsa*

Utaratibu wa kupata vocha hizo ni huu


1.fungua link hii itakupeleka playstore uta download app hii inaitwa dent


2.baada ya ku install usiifungue kwanza rudi uje ku click link hii upya then link itakupeleka tena kwenye app uliyokwisha download


3.baada ya hapo utaweka namba yako ya simu unayotaka ipate kifurushi


4.uta login baada ya hapo utapewa dent coin ambazo zina viwango mbali mbali za voucher so kuendana na idadi ya dent utachague kiwango cha voucher kwenye app na itatumiwa inbox hapo hapo


*kiwango cha coin utakachopewa ni 1600 ambapo utweza kuweka voucher ya 5000*

Ila ukijiunga na link unapata kiwango kidogo cha coin
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom