NIMEJISHUHUDIA MWENYEWE yA KWA BABU LOLIONDO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIMEJISHUHUDIA MWENYEWE yA KWA BABU LOLIONDO

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Iron-rock, Mar 9, 2011.

 1. I

  Iron-rock Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salam sana wana jf.
  Mm nimefka kwa babu tangu jmosi nasijapata huduma kutokana na foleni kua kubwa.ila nliojionea! wenyenye vfafa,wanapata glasi ndani ya dk2 waepona.hakunapovu wala maulimi kujvuta nje.
  Ila sasa hali ya maisha ni ngumu mno.imagine soda,ni1000,maji madogo1500,sujari 1kg3000.
  Ila babu kaonya kwamba asije m2 akategemea kupata faida kutokana na kudhulumu wagonjwa.
  So wito kwa wanaokuja kwa babu,kupona ni hakika ila kuna foleni ile mbaya,beba chakula, na aji yanayotosha kwa muda wa wiki,nguo hasa makufuli if u ar ze woman coz its 2hot na maeuka hakuna is vbanda.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  naona posted via mobile, je bado upo huko au umesharudi?
   
 3. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana. Tujilishe kama umepata kikombe au la.
   
 4. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona unaadithia ya wenzako tupe data zako kabla na baada ya kwenda loliondo! Vp ulikuwa una umwa nini na ulipima kabla ya kwenda na matokeo baada ya kwenda yakoje! Umepima baada ya kurudi kama hapana kaa kimya mpaka upime tumechoka na story ooh nimepata nafuu tunataka vipimo kutoka hospital. Thats all nt otherwise
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwani watu wa kifafa huwa wanatoa povu siku nzima?mijitu mingine bana!
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  MMh avatar ya kipindupindu imepinduka!
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu .. umesema bado hujapata huduma inamaaana upo line ya nyuma nikimaanisha mbele yako kuna umati!! sasa yanayotokea kuleeeeeeeee mbele umeyaonaje! au unayasikia tu!
   
 8. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe umepona ugonjwa gani? Umeshapima baada ya kurudi kwa babu? Kama hujapima ukishapima tufahamishe na wengine wende huko
   
 9. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tomaso! Nenda :juggle:
   
Loading...