Sasa Rasmi.
Nimethibitisha vijana wa Tanzania wengi wao yaani asilimia ndogo ndio wenye akili, lakini wengi ni vilaza baada ya kufuatilia maongezi yao vijiweni.
Maongezi ya vijana wengi wa Kenya na Rwanda walikua wanajadili kwa ujumla namna ya kwenda nchi nyingine kusaka fursa hasa za kazi, elimu au maisha, nilishangaa baadhi ya vijiji wengi wanajadili umuhimu wa viongozi bora na jinsi watakavyoshiriki kwenye uongozi.
Vijana hao wa Kenya na Rwanda hata vijijini nilikuta wanajadili fursa kama kuomba greencard lottery na kuona vipi watapeleka bidhaa kama asali huko uarabuni na uchina.
Vijana walio wengi Tanzania nimekuta kwenye vijiwe wanajadili kula tunda kimasihara, simba na yanga, singeli, wanajadili kila gari ikipita wanajua hii ya fulani. Mara Diamond na Alikiba mara, Mange Kimambi, yaani kwa ufupi hakuna la maana wanaloweza kuongea halipo.
Sasa kwa namna hiyo sijui itakuaje huko mbeleni.