Nimejiridhisha: Jela ndio Kipimo cha kweli 100% cha uaminifu ktk ndoa

Sasa miaka 4 au 5 unataka mwanamke wa watu akae tuuuuuuu... Akusubiri uje akupe si utakuta hiyo papuchi ina utando wa bui bui na mende kibao, acha kutesa wanawake nao ni binadamu, wacha wapigwe nje waburudike....
Lkn mkuu ujue mbwa ni mbwa tu
Na malaika ni malaika tu
 
Sasa miaka 4 au 5 unataka mwanamke wa watu akae tuuuuuuu... Akusubiri uje akupe si utakuta hiyo papuchi ina utando wa bui bui na mende kibao, acha kutesa wanawake nao ni binadamu, wacha wapigwe nje waburudike....
si utakuta hiyo papuchi ina utando wa bui bui na mende kibao
 
Kwani seya na babu yake veepi. Nauliza tiuuu hivi babu alipoenda jela hakumuacha MAMA SEYA?
 
Mkuu mimi nilimuona mke wa aveva yule rais wa simba nikajisemea moyoni ni haki yaké kulàzwa Muhimbili maana sio kwa tako lile lool
Kwani wenye na matako ya mjusi hawachepuki?. Nia na maamuzi yanatoka moyoni na akilini siyo matakoni acha kuwasakama waliojaaliwa neema za allah bila sababu.
 
Back
Top Bottom