Nimejikuta uzalendo na nchi yangu Tanzania umepotea, nimepata uzalendo wa nchi ya China

MI naipenda sana KENYA,Leo ukisema nijivue uraia Wa Tanzania,mi ntakwenda KENYA!
mzalendo Wa Kenya sema BONGO BAHATI MBAYA TU!
 
Hata mm kwa sasa sina na interest na hii maana haieleweki kabisa, kodi kubwa, huduma mbovu, ubinafsi mwingi na mengine mengi........
 
Naipenda Tanzania,Naipenda nchi yangu hakika nitarudi na kuishi Tanzania ,nitarudi kuijenga nchi yangu, hiyo ndo zawadi nilipewa na Mungu.Wakati mwingine nasikiliza wimbo wa Tanzania Tanzania,Wimbo wa Taifa, najisikia kuwa nyumbani,wakati mwingine ukiangalia taarifa kwenye vyombo vya habari,utasikia habari za kukatisha tamaa lakini hiyo hainibadilishi mimi kuwa mtanzania.
Hao Shanghai wamefika hapo walipo na ustaarabu huo walio nao kwa sababu kuna watu walipigana,walijitolea kufikia hiyo hatua,una nafasi ya kufanya kitu kwa ajili ya nchi yako.
Mungu ibariki Tanzania
God bless China!
 
Back
Top Bottom