HiDEmYiD
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,862
- 3,481
Hii nayo kimasihara mkuu, ipeleke kule kwa rikiboy inahusika sana kule
Chupi, akijaribisha mara1 si inafuliwa tuuHiyo nguo ilikuwa chupi au bra? Alafu unamwambiaje mtu ajaribu nguo unayotaka kumnunulia mtusmdfh
Soma vzuriNguo za ndani izi za mitumba kunawatu wanavaa kweli? Embu badilika mkuu uko ni kujidhalilisha wewe na unayemnunulia wote mnaonekana kichwani sufuri
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
SijakuelewaDogo..... Cool down the pace......
Ukiwa mkubwa Kuna siku utaukumbuka mstari huu
Eeeeh😶😶