I'm humbled mpendwa.!!You are absolutely right sweetie Lee
Kwanini Mortdecai?SweetieLee Nikikuona hapa tu furaha iliyoje
Kwakua nimetokea kukupenda tu SweetieLeeKwanini Mortdecai?
Shukrani, shukrani sana!Kwakua nimetokea kukupenda tu SweetieLee
Hapana,Kwa hiyo mordecai vs SweetieLee tayari mambo moto?
Chai ipiHapana,
Karibu chai..!
Wewe huwa unakunywa ipii??Chai ipi
Upoo mamiii?Wewe huwa unakunywa ipii??
Ulishatamani kufwa?huyu sweetLee katika wanawake wenye akili jf mpeni namba 1 kwanza.....nimependa reply yake kwa mwana kamtakaa kidizaini sio ile moja kwa moja mpaka mtu unatamani kufwa
Nipo mwaya,Upoo mamiii?
Imagine ungekuwa kwa nafasi yangu ungefanya maamuzi yapi??Mpaka sasa sijui kama umenikubali au umenikataa. Undecided
No siwezi imagine maana ni kitu ambacho kinatoka akilini mwa mtu. So kama mm ningesema Ndio. Wewe je ungesema hvoImagine ungekuwa kwa nafasi yangu ungefanya maamuzi yapi??
Nilikuambia since day 1 nadhani, hisia zangu zinaniambia there's something fishy here.! Chochote unafanya sijui unafanya kwa sababu ipi..!!No siwezi imagine maana ni kitu ambacho kinatoka akilini mwa mtu. So kama mm ningesema Ndio. Wewe je ungesema hvo