Hahahahaha
Nimeskia sana uchungu moyoni.!!
Amen amenKila ninaadamu aliyezaliwa na mwanamke hua yuko hvo. Sema hua tunafifiza roho hiyo kwa kiburi na Tamaa.
Hongera kwa kua hvo, Utakua ni mke na mama mwema!
Jamaa kaniwahi. Najutua umbumbumbu wanguWhat is it now Wajina??
Don't be that now, you know how much I hate to see you sad??Jamaa kaniwahi. Najutua umbumbumbu wangu
Ooouh! Sorry i can't stop being like thisDon't be that now, you know how much I hate to see you sad??
Bila kukuzungusha zungusha kidogo? Unifungulie na ka "siredi".I am making you the official babe now..
Bila kukuzungusha zungusha kidogo? Unifungulie na ka "siredi".
I bet it's about your first girlfriend.Hahahaa you remind me of someone
Mmmhh mimi nakusikiliza
Mtongozaji umebaki njia panda huelewi kinachoebdeleaMmhh!
I know you can and you have the gut..!!Ooouh! Sorry i can't stop being like this
Roger Sterling, Depal, Sakayo, na Daby naomba mkuje mniambie ni wapi niliposema nimemkataa Mortdecai tukate huu mzizi wa fitna tafadhali sana.!!
Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love.
Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali..
Nimejikuta navutiwa na mdada mmoja anaitwa SweetieLee
Ukiangalia uandishi wake (hua anaandika Lugha safi iliyonyooka either Eng or Swal) Utagundua ni msichana mmoja Smart, Self Determinant, Funny, Very straight Person, Adorable, Friendly kinda, Slef made girl, Care and Kindly Hearted to others..
Ni mengi mno nimeyaona kwa huyu mdada baada ya kufanya assessment kwa kutumia Post zake. Nachelea kusema nimempenda huyu mdada nasubiri Go ahead yake tu nimfuate Pm kama hatojali.
Nimekupenda bure we mdada ujiitae SweetieLee njoo uokoe jahazi lililobeba moyo wangu wenye upendo kwako, maana moyo wangu waona wewe ndio nahodha pekee unayeweza kufikisha jahazi hili pwani. Nakupenda sana
Ooh pls Sweetlee usimuumize huyu bro, ameenda deep sana kwenye moyo wake kujieleza hapa,mpaka hata mimi baharia mstaafu nimeshituka. Sijui kwa nini hakwenda PM.Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love.
Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali..
Nimejikuta navutiwa na mdada mmoja anaitwa SweetieLee
Ukiangalia uandishi wake (hua anaandika Lugha safi iliyonyooka either Eng or Swal) Utagundua ni msichana mmoja Smart, Self Determinant, Funny, Very straight Person, Adorable, Friendly kinda, Slef made girl, Care and Kindly Hearted to others..
Ni mengi mno nimeyaona kwa huyu mdada baada ya kufanya assessment kwa kutumia Post zake. Nachelea kusema nimempenda huyu mdada nasubiri Go ahead yake tu nimfuate Pm kama hatojali.
Nimekupenda bure we mdada ujiitae SweetieLee njoo uokoe jahazi lililobeba moyo wangu wenye upendo kwako, maana moyo wangu waona wewe ndio nahodha pekee unayeweza kufikisha jahazi hili pwani. Nakupenda sana
Pole sana kwa kushtuka!!Ooh pls Sweetlee usimuumize huyu bro, ameenda deep sana kwenye moyo wake kujieleza hapa,mpaka hata mimi baharia mstaafu nimeshituka. Sijui kwa nini hakwenda PM.
Ila nijuavyo mabaharia wa ukweli ndio mambo zao.
Mmmh!Pole sana kwa kushtuka!!
Siwezi muumiza kwa kukusudia ondoa wasiwasi..!!
Umeguna nini Mortdecai?Mmmh!