Nimejikuta namcharaza bakora mwanamke huyu kwa hasira kali

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Nilikutana nae msibani, ulikuwa ni msiba wa jirani yangu! Kati ya ndugu waliohudhuria huo msiba, huyu mwanamke alikuwa mmoja wao!

Kwa ukaribu niliokuwa nao, niliamua kufunga safari pamoja nao kuelekea morogoro, maake walikuwa wakisafirisha! Nilifahamiana nae kwa undani tukiwa safarini!

Wiki iliyoisha kanipiga kizinga, kaniomba nimsaidie elfu themanini nikamwambia asubiri kuna dili nafuatilia! Lakini juzi asubuhi nimechukua simu yake nilipoenda kumtembelea kwao, kisha kuji beep, jina lililokuja ni MAITI MOROGORO, nimesononeka sana! Nikaamua kuscreen shot hiyo calling dashboard nikajitumia whatsApp! Jana jioni nikamuita kwangu, akaja kweli! Nikamuonesha ujinga wake, akaanza kuniomba msamaha, eti ilikuwa njia rahisi ya yeye kutokunisahau kipindi kile, eti alipata kuongea na wengi!

Kwa hasira nilizokuwa nazo ukijumlisha na zile za michongo yangu ya pesa kukwama, nimejikuta nikimcharaza bakora ndani huku mlango ukiwa umefungwa! Maake ningetumia mingumi ningeua mtoto wa mtu!

Jukumu la 80K nimelikwepa, mahusiano ndo yameisha hivyo, na mbususu nishachakata!

Mimi ni wa kunisave maiti!!!?

Hali halisi

IMG-20220526-WA0002.jpg
 
View attachment 2239417
Wallahi mi mniue tu, ila hii ni chai
 
Ila hili la kusave namba jina la tukio ni kawaida inasaidia kukumbuka.

Hakuwa na nia mbaya.
 
Back
Top Bottom