HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,147
Kiongozi.Ni kweli ni banda. Na ni langu. Ww mwenye nyumba sawa na ni yako. Ww kuwa na nyumba hakunipunguzii kitu au kuniongezea lolote mie mwenye banda. Ukute am happy n free kulko ww mwenye nyumba
Kwa hapa hukutakiwa kujibishana na huyo MDAU.
Wewe unafahamu/unajua unachokifanya, na ni kwa faida yako wewe mwenyewe na wala si mtu mwingine.
Ukilala nje kwa kukosa PESA ya pango, hakuna atakaekuja kukusaidia kukupa hifadhi kwenye Nyumba yake.
Kwahiyo, jifunze kupuuza maneno ya mtu/watu kwenye jambo ambalo unaona kwako wewe lina manufaa.
Tukiachilia hayo, nakupa Hongera.
Safi sana