Nimejaribu nikaona maamuzi yamekwama

Ana BACTERIA VAGINOSIS huyo mkuu...mpeleke hosp ila ni jambo la kawaida kwa sexually active women,linaweza kupotea lenyewe normal flora ikirudi on balance au aende hosp kupata uhakika zaidi!
 
akasema yupo alone pia akadai hataki hata hayo masuala coz wanaume eti wanazingua..akaongeza yeye kila akiwa na mwanaume,wanamuacha wanaoa wanawake wengine..


..taabu ikaaza ..Asee halufu ya panya kufia ndan ya shimo ilizisumbua pua zangu.

Ndugu huyu shemeji yetu hili tatizo analo na analijua na ni la muda mrefu kidogo..ndio maana we mwenyewe unakubali kuwa ana tabia zote za kufaa kuwa mke wa mtu lakini so far hajaolewa..

anasema kila akiwa na mwanamme anamuacha na kuamua kuoa mwanamke mwingine..hii ni kwa sababu wanaume wanashindwa kuvumilia hili tatizo lake na wanaamua kusepa.

Ndugu nadhani hili tatizo sio kilema ambacho hakiwezi kutibika..waone wataalamu mahospitalini...zama kwenye mtandao..fanya research mwenyewe kwenye vitabu, papers na publications na naamini combination ya hayo yote itakupatia solution na utaishi vyema na huyu mdada..katika ndoa.

I know a gall who had the same problem..baadae likaisha..sikumuuliza alifanyaje na mie sikuchangia katika kulimaliza..naweza kukupa namba kama unataka..tatizo utajielezaje kwake na atataka kujua namba umeitoa wapi!
Captein nimekupata vyema..fanya kunipa tu then nitajieleza vizur kwa akili,atanielew
Tu
 
Mpeleke kwa daktari kwa kumsaidia tu hata kama utakua huhitaji kuendelea nae,kua mwanaume na uwe tofauti na waliokutangulia kwa huyo mwanamke,labda ndio maana walikua wanamuacha ila yeye hajui,msaidie tu mkuu.

watoto wengi wa kike hawajielewi/hawaelewi matatizo ya maumbile yao hivyo kua muungwana umsaidie tu kumpeleka hospitali. Ni vitu vya kawaida kukutana navyo toka kwa mabinti ila ukugundua ana hilo tatizo unamsaidia. ukimuacha utakua umemsononesha sana na atakua na maswali mengi sana kwa nini anaachwa bila sababu ,yawezekana hata yeye hajijui.

Kua gentleman mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom