Phdum
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 812
- 1,667
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea
Hatua ya kwanza nilichukua flash nikaformat kisha nikaweka setup ya window 10 kuifanya kuwa bootable baadae ikaonekana kama picha inavoonesha
Hatua nyingine niliofanya ni kubonyeza f9 kwa ajil ya setup meno nkafanikiwa hatua kadhaa kama picha inavoonesha ila cha kushangaza nilivyofika hatua ya mwisho iliirestart ikarudi mwanzo kabisa