Nimejaribu kupiga windows 10 kwenye hp elitebook 820 bila mafanikio

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
809
1,667
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea
Hatua ya kwanza nilichukua flash nikaformat kisha nikaweka setup ya window 10 kuifanya kuwa bootable baadae ikaonekana kama picha inavoonesha
Hatua nyingine niliofanya ni kubonyeza f9 kwa ajil ya setup meno nkafanikiwa hatua kadhaa kama picha inavoonesha ila cha kushangaza nilivyofika hatua ya mwisho iliirestart ikarudi mwanzo kabisa
20190909_211831.jpeg
20190909_203418.jpeg
20190909_191520.jpeg
20190909_191346.jpeg
 
Ndio ushapiga windows Hapo mkuu, ingia local disk c hakuna folder linaitwa windows.old
 
Ikifika hatua hii ya kuinstall window ndo inagoma na kuanza hatua ya mwanzo kabisa naomba wenye uzoefu kama CHIEF MKWAWA wanisaidie katika hili japo naweza nikawa sijaeleweka kwasababu mimi sio mwana IT maana hayo yote nimefanya kwa msaada wa google plus uzoefu kidgo
20190909_191346.jpeg
 
Ndio ushapiga windows Hapo mkuu, ingia local disk c hakuna folder linaitwa windows.old
Mkuu shida ni kwamba nikifika hatua hiyo ya installation haiendi mbele badala yake inaanza upya kama picha nilioattach hapa inavyoonesha pia pc angu siwezi kuingia kwenye menu kabisa bila kufanikisha hatua hii sasa sijui labda lina tatizo lingine
20190909_191520.jpeg
 
Unajua ulikosea wapi mkuu?
Huku format hivyo huenda umeweka window 02 kwenye hiyo PC bila kujua
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea
Hatua ya kwanza nilichukua flash nikaformat kisha nikaweka setup ya window 10 kuifanya kuwa bootable baadae ikaonekana kama picha inavoonesha
Hatua nyingine niliofanya ni kubonyeza f9 kwa ajil ya setup meno nkafanikiwa hatua kadhaa kama picha inavoonesha ila cha kushangaza nilivyofika hatua ya mwisho iliirestart ikarudi mwanzo kabisa View attachment 1202975View attachment 1202979View attachment 1202981View attachment 1202982
 
Pia CHIEF MKWAWA naomba kuuliza je nikitoa hii hard disc ya pc afu nikaiformat iwe kama external kisha naiwekea window na kuirudisha ndani ya pc inawezekana? Au haiwezekani na kama inawezekana ni taadhari zipi nizingatie.
 
Unajua ulikosea wapi mkuu?
Huku format hivyo huenda umeweka window 02 kwenye hiyo PC bila kujua
Inawezekana mzee maana sikuformat pc b4 but nilianza tu kuiboot baada ya kuweka rebotable je nifanyeje kuhusu hilo?
 
Mkuu shida ni kwamba nikifika hatua hiyo ya installation haiendi mbele badala yake inaanza upya kama picha nilioattach hapa inavyoonesha pia pc angu siwezi kuingia kwenye menu kabisa bila kufanikisha hatua hii sasa sijui labda lina tatizo lingineView attachment 1203008
ulipokosea hapo ni kwenye boot order,,nenda kwenye bios change boot order,, hard drive yako iwe ya kwanza halafu save then restart window itaendelea pale ilipoishia,,,
kuanza upya kunasababishwa na pc kuboot kwenye hiyo flash ya window kwanza badala ya hard disk,,,,
 
sawa mkuu ngoja nijaribu japo now nikiiwasha hainiletei opt ya kuchagua boot oder
 
Jaribu hii
Ikifika hiyo hatua ya mwisho na kujirestart toa flashdisk yako uone inaenda wapi...kama imeshafanya instlation itaitafuta windows n kuwaka...

Huyu jamaa ametoa solution ila hakua na uhakika.

Kwanza kabisa windows huwa inacopy files toka kwenye source ambapo wewe ni usb stick.

Ikimaliza inazi expand na unapata status ya making files ready for instalation. This stage ikiisha na kuanza kuinstall feature wewe toa flash yako hata ukiamua itupe tu sababu imeshacopy setup files zako kwenye computer hard disk.

Ikimaliza ku ingiza drives ambayo ni hatua ya mwisho basi windows yako ita restart na kuwaka ili kumalizia process ya windows setup.

Mchawi hapo ni kutoa flash usihangaike na boot order now mkuu. Kama uki close hiyo windows inayojirudia na flash uchomoe, computer itawaka na kumalizia setup.

Cheers
 
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea
Hatua ya kwanza nilichukua flash nikaformat kisha nikaweka setup ya window 10 kuifanya kuwa bootable baadae ikaonekana kama picha inavoonesha
Hatua nyingine niliofanya ni kubonyeza f9 kwa ajil ya setup meno nkafanikiwa hatua kadhaa kama picha inavoonesha ila cha kushangaza nilivyofika hatua ya mwisho iliirestart ikarudi mwanzo kabisa View attachment 1202975View attachment 1202979View attachment 1202981View attachment 1202982

Uko wapi kama tuko Jirani naweza kusadia ila anza check bios boot mode iko ipi kama ni legacy au uefi? Kati ya hizo boot options zake zimekaaje pia check secures boot iko on au off . Pia unatumia cd au flash?
 
Huyu jamaa ametoa solution ila hakua na uhakika.
Kwanza kabisa windows huwa inacopy files toka kwenye source ambapo wewe ni usb stick.
Ikimaliza inazi expand na unapata status ya making files ready for instalation. This stage ikiisha na kuanza kuinstall feature wewe toa flash yako hata ukiamua itupe tu sababu imeshacopy setup files zako kwenye computer hard disk.
Ikimaliza ku ingiza drives ambayo ni hatua ya mwisho basi windows yako ita restart na kuwaka ili kumalizia process ya windows setup.
Mchawi hapo ni kutoa flash usihangaike na boot order now mkuu. Kama uki close hiyo windows inayojirudia na flash uchomoe, computer itawaka na kumalizia setup.
Cheers
ahsante kwa mwongozo mkuu
 
Anatumia USB stick

Back
Top Bottom