Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 835
- 2,157
msomi msamehe huyo ni layperson. Anadhani kwa vile yeye ni kishoka anajitengenezea kiapo basi hakuna bei elekezi.-Nani kakudanganya kuwa Affidavit haina bei elekezi? Gharama za Affidavit zipo kwenye Sheria ya Notary public and commissioners for oath Act kasome kule kwenye zile Schedules za kule mwishoni mwa sheria,
-Hakuna sehemu kwenye sheria ya notary public and commissioners for oath act inayosema Affidavit ni 5000/- kama ipo taja ni schedule ya ngapi na kifungu gani cha hiyo schedule
- umesema unajiandikia Affidavit,hebu tueleze ni vitu gani vinakuwepo kwenye hiyo affidavit (taja necessary parts na vitu unavyoviweka kwenye affidavit ), halafu hebu tutajie sheria inayotumika kutoa hizo affidavit
-
Tena hiyo 20k yenyewe ni ya kugonga muhuri tu..bado haujajumuisha drafting costs.