Nimeitwa usaili Ajira Portal - ICT Officer (System Administrator) TRC

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,201
2,000
:):) mshahara mzuri hapo ushauri wangu written sijui maana siko kada iyo ila usisahau kusoma research,kingine kabla ya kuingi oral au sasa kariri zile job duties and responsibilities kama zilivyo kweny tangazo .kingine omba mungu lolote laweza kutokea my experience dk 40 paper unaweza shangaa 37 washakusanya usije ukabaki unashngaa .ukiambiwa start we fanya haraka unavyojua usipige jicho pembeni kuepuka kesi za ovyo ni aibu

last fanya usiwe na doubt sijui kuna watu wameandaliwa, sijui watu wengi fanya yako then sepa zali la mentali lipo
Mkuu embu nipe hints za kada ya HR kidogo kwa TRC
 

adriano mawazo

New Member
Jun 23, 2017
2
45
Daa kwakweli interview ni siku ulivyoamka kama mtihani achilia mbali maandalizi YAKO.wengi wanaijua hiyo KAZI practically but kwenye oral wengi wanaanguka.mifumo ya interview tanzania ni kufeli tu na si vingine
 

Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
490
1,000
Daa kwakweli interview ni siku ulivyoamka kama mtihani achilia mbali maandalizi YAKO.wengi wanaijua hiyo KAZI practically but kwenye oral wengi wanaanguka.mifumo ya interview tanzania ni kufeli tu na si vingine
:D:Dni bahati mzee kikubwa activate mood kupiga paper
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom