Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

Elroysangi

Member
Jan 11, 2021
11
3
salam kwenu wana jukwaa.

Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB.

Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi pakukazia maana naona kama napapasa gizani.

Asante
 
Sio kwamba nakukatisha tamaa kama unahela ambayo sio ya mawazo nenda,naona sasaivi ile misingi ya mwanzo ya utumishi sasaivi imeanza kukiukwa
 
Unataka Tips za ku pass interview ya 'Software development ' , Jamiiforums tena kwenye jukwaa la ajira?
Seriously?

Hongera.
 
salam kwenu wana jukwaa.

Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB.

Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi pakukazia maana naona kama napapasa gizani.

Asante
Nyie ndio mnaajiriwa mnakuja kutengeneza mifumo ya hovyo hovyo. Kama kweli unaipenda nakushauri usiende kwenye huo usaili
 
Nlikua naswali majibu ya oral huwa yanatoka after how long naona ni kama 24 days wapo kimya
 
Back
Top Bottom