'Nimeitwa na Lukuvi, kabla sijaenda nikasaini'-filikunjombe

Mh.Deo wellcome back to CDM,una damu ya watanzani wanyonge,una damu ya CDM... yr sign worths much!

acheni pumba za CCM/CDM, hatutaki ushabiki wa kisiasa tusije kupoteza lengo. Tunataka mabadiliko, yasababishwe na yoyote mwenye uwezo wa kufanya hivyo, akiwa popote...........
 
Hiyo ndio faida ya wabunge waliotumwa kuwawakilisha wananchi na si wabunge wanaowakilisha chama viva Ludewa zidumu fikra zako Mhe.FILIKUNJOMBE mweee
 
hongera mukulu. Huo ndio uzalendo halisi. Maslahi ya nchi kwanza ndio yafuate maslahi ya chama. BIG UP FILY
 
Aisee Deo Filikunjombe si mchumia tumbo ndio maana hana wasiwasi na maamuzi yake,nimelipenda hili kwamba si yeye aliyesign bali ni wananchi na wapiga kura wake safi sana Jembe Deo.
 
Sasa wakati umefika tuwaonee ndugu zetu masikini wanaoishi vijijini ambao kuwa kwao masikini kumeletwa na mfumo mbovu wa utawala tz. Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, kazi yao ni kujinufaisha wenyewe tu. No no nonoooo
 
ila ninavyomjua mpangaji kwa visasi.!!! Deo kwa mbali na majimaji, vyakula utakavyopewa.
 
Mh.DEO amesema ingawa aliitwa na Lukuvi na kushauriwa asisaini,amesema aliamua kusaini ndio akaenda kumsikiliza,pia amesema HAIKUA SAINI YAKE,NI YA WANARUDEWA NA WATANZANIA
SOS:CLOUDSFM HBR

Wakikutoa mhanga hamia CHADEMA
 
Back
Top Bottom