Nimeitwa kwenye usaili Serikalini na sina leseni, mnanishauri niende?

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,588
5,419
Habari zenu ndugu zanguni, natumaini nyote ni wazima wa afya.

Nimeitwa kwenye usaili wa ajira ya Serikalini na katika vigezo vile vya mwanzo wa tangazo waliandika uwe na leseni lakini mimi sina.

Je, hapo mnanishaurije? Niende kwenye huo usaili ama?
 
Habari zenu ndugu zanguni, natumaini nyote ni wazima wa afya.

Nmeitwa kwenye usaili wa ajira ya Serikalini na katika vigezo vile vya mwanzo wa tangazo waliandika uwe na leseni lakini mimi sina.

Je, hapo mnanishaurije? Niende kwenye huo usaili ama?
Ukafanye nini na hauna leseni mkuu? Hela ya nauli njoo kwa kibanda changu ulie chipsi yai

CC Zero IQ
 
Leseni huna au umepoteza????
Habari zenu ndugu zanguni, natumaini nyote ni wazima wa afya.

Nmeitwa kwenye usaili wa ajira ya Serikalini na katika vigezo vile vya mwanzo wa tangazo waliandika uwe na leseni lakini mimi sina.

Je, hapo mnanishaurije? Niende kwenye huo usaili ama?

Siyakukothamela Sonini na nini
 
nenda kama unaexperience na kazi hiyo leseni utapata kama wataona unawafaa wwatakupa kazi kwa shart la kwenda kutafuta leseni ukiwa nao....ila mbaya kama hujui chochote kuhusu kazi hiyo
Unadhani Wangapi wanajua by experience lakini hawana leseni pia???? Vyeti na leseni ni kupunguza tu idadi ya watu lakini kwa experience kuna watu mafundi aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo kila exdperience ina sifa ya kwenye career mfano.umesoma driving lakini hujapractise hata for a month lakini wapo walioendesha maguta ndani huko lakini leseni hana yupi the best kati yao kama utakaa kwenye interview panel?
Kama ni formal work hapo mwenye cheti anpitaa... Ataendelea kujifunza tuu!! Ilaa kama ni private mwenye experience anaweza chukuliwaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kama unaexperience na kazi hiyo leseni utapata kama wataona unawafaa wwatakupa kazi kwa shart la kwenda kutafuta leseni ukiwa nao....ila mbaya kama hujui chochote kuhusu kazi hiyo
Fuata ushauri huu kijana.
Kwenye usahili ukijieleza na wakikupenda watakuchukua tu hata Kama hauna leseni,leseni Ni kitu kidogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata ushauri huu kijana.
Kwenye usahili ukijieleza na wakikupenda watakuchukua tu hata Kama hauna leseni,leseni Ni kitu kidogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
,kwenye tangazo la kuita interview wamesema kabisa watu wanaotakiwa leseni waende nazo sasa yeye hana anaenda kufanya nini!!

By the way niwatakie mtihani mwema wote mnaoenda kuanza mitihani siku ya leo.Mungu ni mwema atatenda.Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom