Nimeitwa kwa ajili ya graduate recruitment holliday inn hotel

usiende,hiyo ni sawa na kurudi shule kabisa
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
 
pwc wameshahama international house kitambo wapo obay siku hizi
Alaa kitambo sana sie tulishawatema na Sasa tunadeal na wengine Ukaguzi wao ulikuwa unachelewa sana kukamilika hadi Board Meeting tukawa tunazisogeza sana
 
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.

I suggest in future before rushing to JF about something googeable/searchable it is worth to take trouble to search, get fine details from their web and come to JF to seek clarity for gaps. Be independent as much as possible! Goodluck
 
and that's why you are not recruiting manager and you will never.don't think people in our days are stupid like your days.kwa akili yako unategemea kila kitu utapata kwenye Google?kuna watu wamekutana physically na kampuni husika tunapata maelezo zaidi.weaknesses za kampuni unaweza kugoogle?acha ushamba.au wewe ndio walewale wa vimemo?natamani nikuone physically inawezekana wewe chizi.kwanza wewe ni graduate wa lini?
 
Pole sana dogo, I am not a recruiting manager but I do get to attend to many interviews in my line (so I at times be a panelist) . Google has many things, even world class journal articles, it all depends on how and what u search on. Inside info is good, but it clearly indicate that even the basic searches were not made. On the second note- there are review sites which u can freely search on big 4 audit firms. Take it as challenge and not a disappointment , u have a long way to go..but u will get there, take the time to embrace challenges postitively. Here its facts , no personal attacks.
 
Kwa mwendo huo dogo hutofika mbali take my words. Graduates wengi Wa siku hizi wanatoka vyuoni na vyeti but elimu wanaiacha huko. Hayo ni matokeo ya kusomea mitihani na kukariri, unatoka na cheti kuzuri cha kuombea kazi lakini kichwani hujaelimika.

and that's why you are not recruiting manager and you will never.don't think people in our days are stupid like your days.kwa akili yako unategemea kila kitu utapata kwenye Google?kuna watu wamekutana physically na kampuni husika tunapata maelezo zaidi.weaknesses za kampuni unaweza kugoogle?acha ushamba.au wewe ndio walewale wa vimemo?natamani nikuone physically inawezekana wewe chizi.kwanza wewe ni graduate wa lini?
 
Nyie vijana, kwani mtandao mnatumia kwa kuangalia picha za wadada ama wakaka fb tu ama?
nina rafiki hata akikutana na mkaka ana mgoogle na kucross check cv yake. Dunia kijiji, acheni uzembe
 
nipe majina yako ili nigoogle cv yako.
 
Pole sana dogo, I am not a recruiting manager but I do get to attend to many interviews in my line (so I at times be a panelist) . Google has many things, even world class journal articles, it all depends on how and what u search on. Inside info is good, but it clearly indicate that even the basic searches were not made. On the second note- there are review sites which u can freely search on big 4 audit firms. Take it as challenge and not a disappointment , u have a long way to go..but u will get there, take the time to embrace challenges postitively. Here its facts , no personal attacks.

Kiongozi usipoteze nguvu zako kumuelimisha..si unajua ule msemo bora uelimishe mjinga kuliko..........
 
Wanahusudu GPA kubwa kubwa hawa ukipata mtu wa kukupiga bakora kwenye hilo imekula kwako hata kama utakamua usaili fresh!
 
Nyie vijana, kwani mtandao mnatumia kwa kuangalia picha za wadada ama wakaka fb tu ama?
nina rafiki hata akikutana na mkaka ana mgoogle na kucross check cv yake. Dunia kijiji, acheni uzembe

nipe maana ya WADADA,WAKAKA NA MKAKA.ili nifahamu kama wewe ni mzembe au la
 
Hujawahi kudhani kuna HR director wa pwc hapa? Unaona kila aliemo humu ni selule kama wewe?
CV yangu nikikupa huwezi hata kuielewa, ina terminologies ngumu sana. Wenzio tushavuka stages za kuandika was na is nyiingi. Kila la kheri banaa, wakupe kinafasi hicho. Urudi kuuliza mshahara utake ngapi japo kwa sasa usi-bargain manake hujauzika bado.
nipe maana ya WADADA,WAKAKA NA MKAKA.ili nifahamu kama wewe ni mzembe au la

nipe majina yako ili nigoogle cv yako.

and that's why you are not recruiting manager and you will never.don't think people in our days are stupid like your days.kwa akili yako unategemea kila kitu utapata kwenye Google?kuna watu wamekutana physically na kampuni husika tunapata maelezo zaidi.weaknesses za kampuni unaweza kugoogle?acha ushamba.au wewe ndio walewale wa vimemo?natamani nikuone physically inawezekana wewe chizi.kwanza wewe ni graduate wa lini?
 
Kwa uelewa wangu mdogo siku ya Ijumaa Holiday Inn ya pasta-dar huwa inatumika kutoa seminar kwa wajasilia inayotolewa na haya makampuni ya kuuza bidhaa ya FOREVERLIVING kwa watu ambao Exceptional kidogo na walalahoi kama mimi huwa tunakuwa pale millenium tower_Makumbusho so mkuwa makini bro.

Kama ulikuepo kudadeki, wanajiita CREATIVE MINDS. Nimetoka huko muda si mrefu wanafanyia Roof Floor pale Hiliday INN. Walipoanza kuleta picha za wazee waliochoka na hadithi zao nikajua mwisho wa siku ni ujasilia mali wa kuuza bidhaa za Alovera. Halafu naona wote walioitwa kama wanafanya kazi ili wawe na uwezo wa kununua na kuuza kazini kwao.
 
Wanahusudu GPA kubwa kubwa hawa ukipata mtu wa kukupiga bakora kwenye hilo imekula kwako hata kama utakamua usaili fresh!

Hawa sio PWC ni CREATIVE MINDS a.k.a wajasiria mali wa bidhaa za binadamu. Direct sales, nimetoka kuwaona pale juu (Roof Floor) ya Holiday INN hawana ajira zaidi ya hiyo na porojo kibao.
 
Back
Top Bottom