Nimeishutukia Serikali wameogopa Kuwashiwa moto na wapemba!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimesikitika kwa maelezo eti wa South Africa hawana vifaa vya kuokolea maiti waliozama na meli!
Hapa nikiini macho kwani walijua kwamba wakiwatoa wale maiti itakuwa ni aibu kwa serikali!Maana maiti ninyingi sana wameamua kuzipotezea sikingine!
ndo serikali tuliyonayo watendaji wake hawawajibiki!!Jiulize kwa nini katika ndege hawasimamishi abiria??Kwanini kwingine wasimamishe abiria mpaka chombo kinazidiwa na uzito??Usimamiaji wa sheria mbovu.
 
Kama CUF na maalim Seif wasingekuwa wameolewa na ccm visiwani, saa hizi huko visiwani kungechimbika; lakini sasa maalim anatembea na bendera ikipepea huku maiti zikiliwa na samaki baharini, mambo yote poa!!
 
Swala la kuwapotezea eti wazanzibar wata wahoji halikimbiliki coz jumla ya maiti na wale waliookolewa inafikia 800 wakati uwezo wa meli ni kubeba watu 610
 
makaburu wamesema wataleta manowari

na meli kubwa wakati wa mafunzo ya kijeshi ili kuiopoa meli hiyo
 
Back
Top Bottom