Nimeishiwa nyimbo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeishiwa nyimbo....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kana-Ka-Nsungu, Sep 18, 2009.

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Zamani, enzi za ujana wangu, nilikuwa nikijikuta na ngoma ndani ya kumi na nane, maneno yananitoka tu, nilikuwa nabwabwaja kaa nimefungwa mota mdomoni au nimemeza mabetrii, na wengi walikuwa hawachomoi, kwa maneno yangu matamu lazima alainike na ghetto angekuja kunipa ninachotaka...........

  Siku hizi, mhhhhhhh, domo lazidi kuwa zito kadri umri unavyosonga, vitoto vizuri navitamani, navyo nahisi vinanizimia- lakini najishtukia sijui ni kwa kuwa nshaoa au najihisi mzee? Kila nikiitunga sentensi kichwani naona haijatulia, kigugumizi kinanipata, muda unayoyoma hadi ngoma inasema goobye! Pale ninapojipinda na kuongea, naongea wrong words na naambulia kibuti!

  Nimesahua kuimbisha, nyimbo sina wakulu, zote zimeniishia. And was wondering what was the best lines you guys are using nowadays...? Lets say you are out clubbing au uko pub afu umekiona kitoto kizuri and you make a move, what do you say? I know kwa wengi tulioishiwa nyimbo, mwisho wa maongezi ni baada ya introduction, sasa hapo ndo unapoweza kujikuta unaleta story za mvua na mahindi au kama unatokea Pemba unajikuta unaishia kwenye lines za 'mapera wala weye?' Have tried some few english ones but they haven't worked ie 'I think you are a fire hazard babe..' unaatract attention yake, akiuliza 'why?',unammaliza..'You look soooo hot!', au 'Sorry am new to this place and I think am lost', 'where do you want to go?' baaaang 'to your place...',etc.

  You can come up with more ili wengi tufaidike na tatizo hili la udomo zege.

  Nice weekend to you all.
  Kana
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kutongoza maneno sio muhimu kabisa,cha kwanza kabisa ni body language yako,
  ukiwa na body language inayosema " i am the man,i am confident and i can get any woman i want,"utampata mwanamke yeyote tule unayemtaka,
  but kama body language yako inasema ,"i am the loser,please i beg u to love me," hufanikiwi hata uwe na maneno matamu kiasi gani.
   
 3. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa jamani mambo mengine,Mungu anakunusuru na mambo mengi bado unarisk,wewe si umesema umeoa sasa hayo mapoozeo ya nini ???
   
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hakuna cha kusahau chat lines wala nini,tatizo ni kwamba sasa hivi umechoka,bure aghali.
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wahi bagamoyo mkuu kana, ushapigwa kipai pai
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...penyeza rupia kuondoa udhia!...
   
 7. K

  Keil JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yeye bado anafikiria kuimbisha nyimbo za zama za Mwalimu na anatarajia asikilizwe, nani ana muda wa kusikiliza hizo nyimbo?

  Siku hizi hapendwi mtu ... wallet/ATM card yako tu, wizi mtupu!

  Kama somo halitaeleweka nenda Sega Dance (Segerea) kamuulize Liyumba kama alikuwa anaimbisha hizo nyimbo za enzi za Mwalimu, maana huyo jamaa alikuwa ni mtaalam wa kutoka na totoz.
   
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Hii nayo ni dalili ya 'udomozege', yaani wee umeuona mlupo afu usifumbue domo lako eti unategemea body language, utakufa na kutu hakyanani!
   
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Wee Keli, hata hiyo miela kama unaimwaga, huwezi tu kumuaproach mtoto wa kike afu ukafungua wallet yako, that will freak anyone out. Lazima uongee maneno fulani kwanza, na hayo maneno ndo mzozo kwa wengi.
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe mkuu, nahitaji kabooster, niende zangu Bwagamoyo nikang'arishwe nyota na kuongezewa kismati na mvuto, nikikaa sehemu-nionekane ka P Diddy, all eyes on me, vimiss vinajipitishapitisha tu, mi kazi yangu kuchagua, neeeeeeeeeeexxxxxxt!!!!!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Babu siku hizi ATM na cash ndizo zinaongea maneno matupu huwezi dondosha ubuyu mkuu.
   
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mbona nawajua masela wangu wengi tu hapo Bongo, wanasukuma mashine kali na hawana kitu? Ndo kwanza wao wanatunzwa!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yeah ni kweli wapo hao nikiwepo mm mmoja wapo hapo inatokea demu sio kiwango na ana maisha yake labda aliolewa kaachika au mjane au ndo hivyo umri umeenda hana mme basi ili ajifariji akimpata young au hata mzee ambae hana kitu basi anamlea kwa kila kitu.
   
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Sio wajane na viwango duni tu, kuna mamentali wengine zali zinawadondekea tu, unampata mtoto mkali wa geti kali, kwao mpunga wa kumwaga, anachota maskani anakuja kukumwagia wewe!
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  hapo juu ulikana kama hakuna body language sasa hapa tunakushangaa!
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Vp inakuwaje binti yako analilea lyanaume ambalo hata future hana na wewe unajipinda unamlea mwanao ili mafataki wasimdanganye kumbe mkwanja unao mpa kuna kibaka ambae anamkuna nae anampa vp mkuu utajisikiaje hapo?
   
 17. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  mzee chukua mistari ya fataki!!!(LOL) au usikilizagi redio maana fataki ni noma bwana. sema hawa wa sidanganyiki wanaaribu.
  mi nafikiri mistari yako ilikuwa kama ya fataki sasa hawa wa sidanganyiki wamekuaribia kabisa. lakini mzee mkeo hutosheki au unataka kila kizuri kiwe chako. kwa mfumo huo ukimwi kweli utaisha. sikuhizi naona kuwa na totoz za nje ni kama fasheni. take care kana ka nsungu tunakuhitaji kujenga taifa.
   
 18. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  maisha ya kitamthilia haya mzee bongo yahafanyi kazi. mbona mnapata shida sana. kutokea ni art mzee. sasa vijana wa siku hizi wanajifanya et wanasomea kutokea halafu vibuti navyo vinaongezeka.
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Komredi yule mke wa mtu bado anakufatilia tu?
   
 20. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mnanshangaa na nani? Hivi unajua maana ya body language weye yakhe? Na nyie mnaonishangaa kwanini niko interested na vicheche wakati nimeoa- muache unafiki, hii ni jadi yetu wanaume wa kiafrika, mapoozeo lazima, you just need to be careful.
   
Loading...