Nimeishi ughaibuni (Ireland) miaka 10, nikachuma pesa huko nikarudi kuwekeza nyumbani Tanzania

View attachment 1777336
kwenye uzi wako huu mwingine unasema
1. Una degree ya uhasibu
2. Umeajiriwa kwenye taasisi wa kimataifa

halafu uzi wako wa leo unasema
1. Umesomea agricultural science
2. Ulifanya kazi kwenye kampuni

Hizo chai za JF za moto sana
Hiyo niliweka kimalengo zaidi, huo Uzi Mimi mwenyewe ninao na ningeweza my edit kabla hata ya kuja kuweka huu
Nilisema mhasibu ili kurahisisha zoezi, wengi hawatuelewi kabisa tuliosoma agriculture
 
Mkuu Kaveli hivi umepita na pande hizi??
T11 unaweza pata idea ya kilimo cha zabibu hapa,
stineriga upite na hapa...

Mkuu Jimena , thanks for invite. Nimefika.

From Per Diem hadi Per Week. Naona amejipandisha hadhi. Hii tunaita self upgrade.

Ngoja tuone naye tambo zake.

Mkuu binti kiziwi , pitia kipande hii. Wazee wa 'connection ughaibuni' on air again.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom