Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.
Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.
Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Hii ni
