Nimeishi Ki CCM Siku Tatu, ``Najuta Kilichonitokea``

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Mara nyingi napenda kujaribu Experiance kadhaa kadhaa mbali mbali ili kuona utofauti.
Sasa kwa siku Tatu zilizopita nikasema nijaribu kuishi kama Li-mwana CCM.

Ohh, mara siku ya kwanza nikawa kama Lizuzu fulani yaani sijielewielewi hivi yaani hata kwenye Mijadala ya Muhimu mi naweka mizaha mizaha tena ya kitoto hadi Jamaa wanaonijua ka mi huwa Mtu wa kukaza wakashitukia vp mbona umekua kama Wale kulikoni, anyways nikajikaza nikawa napinga Hoja kizushizushi tu.

Ok, kukakucha siku ya pili, U-CCM ukanipanda kichwani mara akiri akanibadilikia nikawa Mtu wa kusema Ndio, Ndio tena kwa haraka bila hata kufikiri Unyeti wa Issue husika, hapa sasa hadi Wife akanishitukia kidogo akohoji, hizi Ndio, Ndio zako kwa kila kitu Si Mwishoe atatokea Mwarabu hapa akuombe Tigo si utajikuta umesema Ndio, Eee! nikamwambia Wife sasa huko umefika mbali sana, mimi siku mbili tu nitoe Tigo mbona washikaji kibao wapo huko kitambo ina maana wao tayari, Wife akaguna akasema haya Tutajionea.

Siku ya Tatu yaani jana sasa nimeamka hasubui yaani akiri yote imekaa kimakanikia yaani mimi ni mtu wa kusifia upuuzi tu na Kuponda tena bila aibu Wazalendo wa Kweli wanaokaza, yaani kiongozi wangu hata akijamba mimi nakurupuka tu from no where `Asante Mkuu` Lakini nikitulia najishitukia kiaina.

Leo kama ningeendele ingekua siku ya Nne na sijui leo nini kingenitoea , maanaake kwa trend hiyo. We unahisi Leo ningekuaje?
(Changia)
Aah, Wajomba nimetosa.
Nimerudi home kwa Wazalendo Wakazaji
 
Duh!You are not serious.Pole sana lakini vyema umejishtukia ukarudi nyumbani
 
Hahahahahahaha lol! nimecheka sana hahahahahaha wife alienda mbali sana lakini wewe ni muelewa hukumzabua vibao baada ya kudai atatokea mwarabu akuombe tigo nawe usaule tu UKUKU.

Ungeliendelea kukaa huko CCM, ungelistahili kuwa mnyampala wa mabarabara tu na si vinginevyo.
 
Hahahahahahaha lol! nimecheka sana hahahahahaha wife alienda mbali sana lakini wewe ni muelewa hukumzabua vibao baada ya kudai atatokea mwarabu akuombe tigo nawe usaule tu UKUKU.
Wife alimpa ukweli sii inajulikana wazi kuna vijana viongozi huko mapumziko wanaenda Mombasa? Huko ccm vijana wanaharibiwa sana!
 
H
Mara nyingi napenda kujaribu Experiance kadhaa kadhaa mbali mbali ili kuona utofauti.
Sasa kwa siku Tatu zilizopita nikasema nijaribu kuishi kama Li-mwana CCM.

Ohh, mara siku ya kwanza nikawa kama Lizuzu fulani yaani sijielewielewi hivi yaani hata kwenye Mijadala ya Muhimu mi naweka mizaha mizaha tena ya kitoto hadi Jamaa wanaonijua ka mi huwa Mtu wa kukaza wakashitukia vp mbona umekua kama Wale kulikoni, anyways nikajikaza nikawa napinga Hoja kizushizushi tu.

Ok, kukakucha siku ya pili, U-CCM ukanipanda kichwani mara akiri akanibadilikia nikawa Mtu wa kusema Ndio, Ndio tena kwa haraka bila hata kufikiri Unyeti wa Issue husika, hapa sasa hadi Wife akanishitukia kidogo akohoji, hizi Ndio, Ndio zako kwa kila kitu Si Mwishoe atatokea Mwarabu hapa akuombe Tigo si utajikuta umesema Ndio, Eee! nikamwambia Wife sasa huko umefika mbali sana, mimi siku mbili tu nitoe Tigo mbona washikaji kibao wapo huko kitambo ina maana wao tayari, Wife akaguna akasema haya Tutajionea.

Siku ya Tatu yaani jana sasa nimeamka hasubui yaani akiri yote imekaa kimakanikia yaani mimi ni mtu wa kusifia upuuzi tu na Kuponda tena bila aibu Wazalendo wa Kweli wanaokaza, yaani kiongozi wangu hata akijamba mimi nakurupuka tu from no where `Asante Mkuu` Lakini nikitulia najishitukia kiaina.

Leo kama ningeendele ingekua siku ya Nne na sijui leo nini kingenitoea , maanaake kwa trend hiyo. We unahisi Leo ningekuaje?
(Changia)

Aah, Wajomba nimetosa.
Nimerudi home kwa Wazalendo Wakazaji

Huu ndiyo ushahidi wa uwezo mkubwa wa watawala wa tarajiwa ili Tanzania iende kwa kasi zaidi.Hongera CHADEMA mpya.
 
Back
Top Bottom