nimeipenda

Weapon

Member
Jul 13, 2011
13
1
watanzania wenzagu naamini kubalisha maisha ya kila siku yatupasa tubadilishe vile tufanyavyo kila siku. Napenda niwe mwanaJamii kama ninyi mlionitangulia. Ukaribisho tafadhali

karibu sana, na vizuri umetambua kuwa inabidi ubadili vile unavyovifanya kila sk.

mkuu karibu sana ila hilo jina mhhh...

kikubwa zaidi mkuu gonga hapa JamiiForums Disclaimer and Rules

nashukuru ndetichia

mkuu karibu sana ila hilo jina mhhh...

kikubwa zaidi mkuu gonga hapa JamiiForums Disclaimer and Rules

sio a.k.a ndo nililopewa na baba, sema ni unique ndo maana kama linakuwa la ajabu

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom