nimeipenda

Weapon

Member
Jul 13, 2011
13
0
watanzania wenzagu naamini kubalisha maisha ya kila siku yatupasa tubadilishe vile tufanyavyo kila siku. Napenda niwe mwanaJamii kama ninyi mlionitangulia. Ukaribisho tafadhali
 

Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
578
500
karibu sana, na vizuri umetambua kuwa inabidi ubadili vile unavyovifanya kila sk.
 

Weapon

Member
Jul 13, 2011
13
0
mkuu karibu sana ila hilo jina mhhh...<br />
kikubwa zaidi mkuu gonga hapa <a href="https://www.jamiiforums.com/rules.php" target="_blank">JamiiForums Disclaimer and Rules</a>
<br />
<br />
sio a.k.a ndo nililopewa na baba, sema ni unique ndo maana kama linakuwa la ajabu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom