Nimeipenda zawaid hii ya Birthday

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
_DSC2622.jpg
 
We Mfanyikuzi wee!, nimekosoma,
umempenda mtoa zawadi ukaamua kumuanika kwa kisingizio cha umeipenda zawadi!.
 
Huyu aliyeshika "Zawadi ya Birthday" mbona ma.pa.ja yana mafido.fido yaani mafunyukuzi.funyukuzi?
 
Huyu aliyeshika "Zawadi ya Birthday" mbona ma.pa.ja yana mafido.fido yaani mafunyukuzi.funyukuzi?
...Taratibu sheikh! Hayo mafindo findo wakati wa msimu wa mvua unaweza kupoteza kazi hivi hivi.....!! Ukigusa hubanduki:lol::lol::lol:
 
kwa kifupi sijaona hata hiyo zawadi au imefichwa? manake naomna manyama tu ya akina dada sasa sijui ndo zawadi yenyewe au vip. acheni kuiga ujinga fateni tamaduni zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom