Nimeipenda serikali hii ya awamu ya tano

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,791
ELIMU BURE KULALA NJe.............................

bomoa.jpg

BADO TANZANIA WANANCHI TUNA KERO YA KUSHUGHULIKIA KWA SASA YANAYOTUGUSA WENGI KATIKA JAMIi

Push up 2.jpg
Maji ni uhai.jpg
Primary School TZ.jpg
 
kate
Ametuwekea ELIMU BURE kisha anavunja nyumba zetu tunalala nje!!!!!!!!!

nani atakayesoma hiyo Elimu Bure yake???
Wakati wanajenga bondeni hawakujua kama wanavunja sheria? Na hata kama ikiwa hawakujua haitoshi kuwa excuse ya kutokubomolewa, sheria ni lazima zifuatwe.
 
Bomoa bomoa iende sambamba nakuwakamata wote waliopeleka umeme na maji na wale wanao enda kuchukua kodi na Ushuru mbalimbali ktk maeneo hayo.
Bila hivyo utakuwa uonevu uliovuka kipimo.
 
Hao wanaopeleka maji, umeme na kuchukua ushuru kutoka maeneo ya bondeni hakuna sheria wanayovunja. Walio vunja sheria ni hao waliojenga huko bondeni.
 
Mawaziri wa Rais Magufuli na makatibu wakuu ni wasomi. Katika hili zoezi la bomoa bomoa wanaweza wakachukua njia nyepesi ambayo italeta maumivu makubwa, kujenga chuki au wakachukua njia tofauti ya kukaa pamoja na kutumia akili na elimu zao kila wizara kwa upande wake. This second option is almost painless, na kitu ambacho nimekuja kuelewa watanzania ni watu wapole ambao wako tayari kufuata sheria. na hamna kiongozi asiyetaka goodwill na watu Anaowaongoza. Nionavyo mimi kuna watendaji wasioielewa dira ya Magufuli au wanataka wajipendekeze au wanataka wamuangushe. Magufuli hakurupuki anapambanua. Hivi vitu anavyovifanya bila shaka alishavijua na alikuwa anasubiri muda muafaka. Tuige mfano wake.
 
Potelea mbali...cha msingi sheria ifuatwe tu. Tupo tayari kunyimwa kura 2020 na kutoka madarakani lakini sio kubaki madarakani kwa kuzifumbia macho sheria. Hilo hatuwezi. Hivyo ikiwa 2020 tutatolewa so be it....Ila tutakuwa tumetimiza wajibu wa serikali kwa miaka 5 ya kusimamia sheria, taratibu na kanuni.
 
kate

Wakati wanajenga bondeni hawakujua kama wanavunja sheria? Na hata kama ikiwa hawakujua haitoshi kuwa excuse ya kutokubomolewa, sheria ni lazima zifuatwe.

Na yule aliyejenga Ofisi za mabasi ya mwendo kasi pale Jangwani pia alifanya makosa kisheria kwani amezuia njia ya maji, tena kati kati ya mto Jangwani!!!!!!!!

Hivyo sheria ichukue mkondo wake kwa kulibomoa lile jengo paple Jangwani.

Mafuriko jangwani 6.jpg
Mafuriko jangwani 6.jpg
Mafuriko Jangwani 3.jpg
 
Acheni sheria ifanye kazi tu iwamulike wala rushwa ya viwanja

Lakini hadi kufikia leo hakuna mla rushwa ya viwanja hata mmoja ambaye amekmatwa zaidi tunaona wananchi waliojenga ndio wanawajibishwa kwa kukosa makazi.
 
Back
Top Bottom