M Misterdennis JF-Expert Member Jun 4, 2007 1,741 481 Nov 9, 2010 #2 Tayari ameuza timu?? hivi prof aliwahi kuwa ccm huyu!
B bwanashamba Senior Member Mar 29, 2010 193 3 Nov 9, 2010 #4 Kimey said: Click to expand... uyu jamaa ni mtu wetu mwanangu kule cuf anazuga tu
Kimey JF-Expert Member Mar 25, 2009 4,117 832 Nov 9, 2010 Thread starter #6 Fidel80 said: Kauza mechi huyu tayari Click to expand... hahahaha kuna tetesi JK anaweza kumkumba kwenye ufalme wake teh teh...
Fidel80 said: Kauza mechi huyu tayari Click to expand... hahahaha kuna tetesi JK anaweza kumkumba kwenye ufalme wake teh teh...
Deodat JF-Expert Member Sep 18, 2008 1,274 272 Nov 9, 2010 #8 Misterdennis said: Tayari ameuza timu?? hivi prof aliwahi kuwa ccm huyu! Click to expand... Ndiyo chama kilichomlea, na hakuwahi kurudisha kadi yake ya CCM.
Misterdennis said: Tayari ameuza timu?? hivi prof aliwahi kuwa ccm huyu! Click to expand... Ndiyo chama kilichomlea, na hakuwahi kurudisha kadi yake ya CCM.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,466 Nov 9, 2010 #9 Kimey said: hahahaha kuna tetesi JK anaweza kumkumba kwenye ufalme wake teh teh... Click to expand... Anaweza kula shavu hivi hivi kama wenzie kule Zenji
Kimey said: hahahaha kuna tetesi JK anaweza kumkumba kwenye ufalme wake teh teh... Click to expand... Anaweza kula shavu hivi hivi kama wenzie kule Zenji
LeopoldByongje JF-Expert Member Apr 28, 2008 372 13 Nov 9, 2010 #10 Imetulia sana. Kada wa ccm miaka ya 1980 hadi mwanzoni mwa 1990. Si mnakumbuka mshauri wa uchumi wa mzee rukhusa!!!!!!!!!!!!!
Imetulia sana. Kada wa ccm miaka ya 1980 hadi mwanzoni mwa 1990. Si mnakumbuka mshauri wa uchumi wa mzee rukhusa!!!!!!!!!!!!!
Makame JF-Expert Member Jan 3, 2008 512 61 Nov 9, 2010 #12 :tape: Bigirita said: Nani tena huyu? profezeore Pumba? Click to expand...
Ludovick Mwijage Member Jan 1, 2010 42 28 Nov 9, 2010 #14 Kimey, Hivi picha hii ilichukuliwa lini? Baada ya Prof Lipumba kuwa mwanachama wa CUF au kabla? Ludovick
Kimey, Hivi picha hii ilichukuliwa lini? Baada ya Prof Lipumba kuwa mwanachama wa CUF au kabla? Ludovick
sijui nini JF-Expert Member Sep 29, 2010 2,553 1,290 Nov 9, 2010 #15 sio mambo ya photoshop haya..!!??
boma2000 JF-Expert Member Oct 18, 2009 3,279 310 Nov 10, 2010 #16 Kimey said: Click to expand... Haiwezekani hii picha fake ingawa kipindi Cha urais wa Mwinyi aliwahi kuwa mshauri wake
Kimey said: Click to expand... Haiwezekani hii picha fake ingawa kipindi Cha urais wa Mwinyi aliwahi kuwa mshauri wake