Nimeipenda hii toka kwenye ukuta wa facsbook wa rev. Msigwa

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
Kama wewe ni mjinga ,ujinga wako
hatokwisha kwa kumchukia mwerevu,
Bali kwa kujifunza Yale usiyojua
kutoka kwake, vile vile Kama wewe ni
maskini umaskini wako hatotoweshwa
kwa wivu au kumchukia tajiri, Bali kwa
kujifunza amepataje utajiri. Acha
kulalamika na kutafuta
visingizio ,wajibika kikamilifu juu ya
maisha yako. Rev. Peter Msigwa (Mp)
2012.
 
Hekma za Kimbingu hizo, pia naipenda sana ile ya kusema uchumi unainuka kwa kufanya kazi na siyo kufanyiwa maombi...

Wanaombewa wazinifu mfano wa kina Mwigulu na Kapuya, wasingiziaji wezi wazushi wauaji...
 
Ukiwa kiongozi halafu ukawa mropokaji lazima utakuwa umewahi kuwa kichaa mara moja ktk maisha yako
 
Kama wewe ni mjinga ,ujinga wako
hatokwisha kwa kumchukia mwerevu,
Bali kwa kujifunza Yale usiyojua
kutoka kwake, vile vile Kama wewe ni
maskini umaskini wako hatotoweshwa
kwa wivu au kumchukia tajiri, Bali kwa
kujifunza amepataje utajiri. Acha
kulalamika na kutafuta
visingizio ,wajibika kikamilifu juu ya
maisha yako. Rev. Peter Msigwa (Mp)
2012.

kamandamakini tumikia watu wako achana na mambo ya fcbook
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni mjinga ,ujinga wako
hatokwisha kwa kumchukia mwerevu,
Bali kwa kujifunza Yale usiyojua
kutoka kwake, vile vile Kama wewe ni
maskini umaskini wako hatotoweshwa
kwa wivu au kumchukia tajiri, Bali kwa
kujifunza amepataje utajiri. Acha
kulalamika na kutafuta
visingizio ,wajibika kikamilifu juu ya
maisha yako. Rev. Peter Msigwa (Mp)
2012.

Mi mpita njia tu jama ila hii ni
Falsafa yakinifu,hakka napendezwa na kauli za rev msigwa zenye nukuu za kifalsafa ktk kuwafunza wenye akili na kuwaudhi wapumbavu.
 
Ukiwa kiongozi halafu ukawa mropokaji lazima utakuwa umewahi kuwa kichaa mara moja ktk maisha yako

Mda mwingine chutama unapoona genge la nyuki likipita juu.

kuficha upumbavu sio uoga bali ni ujasiri.

mwehu akiona jalala anajua katajirika.

kauli ya mwelevu ni dawa kwa --------.

Ni bora anaetoa kauli zenye mafunzo kwa wachache kuliko anaetoa kauli zenye maudhi na kukera kwa wengi.


"kama hamuwezi kulipa nauli pigini mbizi"

"watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi,uwezo wao ni kuwekeza kwenye viwanda vya juice tu"

"watakao ona gharama za umeme ni kubwa basi wawashe vibatari"

"nch hii haiwezi kuingia kwenye mgao tena"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom