Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
- Thread starter
- #41
QUOTE=Raia Fulani;3691411]Basi nitakuwa naleta nukuu za Dk Slaa na Nyerere. Kuwa na phobia na mtu isiwe kigezo cha kuchukia pia kile anachoamini. Kimsingi tusihame kwenye mada husika. Unaichukuliaje hii nukuu?
Hujanitendea haki RF kwa jibu lako, sababu point yangu umeielewe vizuri sana......
Ok sikuwa na lengo la kuharibu uzi wako, kila la kheri kwenye mjadala huu![/QUOTE]
JG sijui kama unajua impact ya unachokiongea. Kwamba kama watu waliandika kwenye page na sites zao huko kwenye mitandao mingine basi visiletwe hapa kwa kuwa hawakubandika hapa kwanza. Vyanzo vya habari zinazojadiliwa hapa jf ni wapi? Kwa nini watu humu huwa wanadai vyanzo vya taarifa na habari? Mathalani Raia Mwema imepost habari yake kwenye tovuti yake. Kwa kuwa hawakuipost hapa jf basi isiletwe hapa? Unakosea sana mkuu. Nadhani hukufikiria hivi