Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,101
- 25,972
Gazeti la Tz Daima leo front page.
"Karibu mwai, karibu CHADEMA" ni kama vile namsikia Freeman.
Ila jicho kkhhaaaa!
jicho la mwenyekiti linaonesha kumhusudu mtoto,na alivyo mwema wa kutoa offer sijui kama amepona!View attachment 473981
Gazeti la Tz Daima leo front page.
"Karibu mwai, karibu CHADEMA" ni kama vile namsikia Freeman.
Ila jicho kkhhaaaa!
Kumbuka hao wafuasi ni wa film..sio wanasiasa..wala hawajui chochote kuhusu siasa za wema zaidi ya filam za wema..kama ndio mna fikra kama hizi basi chadema imeanza upya msingi wa nyumba..Kwani malaya awapigi kula jamani, acheni ulofa na wivu jamani kumbukeni wema ana wafuasi wengi wanaompenda wengine wako nyuma yake kumfata, mbona alipokuwa huko upande wa pili, mbona amkusema yote aya watu povu linawatoka kisa tu wema kaenda cdm
kwani chadema hampokei wanachama wapya?Ujinga mtupu! Tumekuwa kaa jalala! Of all the people,Wema?????
Huyu ambaye akipewa kitita tu atarejea CCM huku akiwaachia chadema kashfa kedekede?
Kwa nini chadema hawajifunzi?
Yu wapi Jacqline wa Lowassa,mbwembwe zote at the end karejea CCM.
Ogopa sana wasanii wanaoishi kwa usanii
CCM wanapewa hela,je chadema watapata?Bila shaka ruzuku haitoshi and so hawatapata kabisa
sasa wanategemea watakuwa naye?
Subiri matatizo yake yakiisha tu atarejea kwao huku akiacha kashfa za ukanda na udini