Saaaaaanaaaaa.......Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu
Kuwaingiza akina Nusrat Henje bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Nk.....nk....nk!
Hakika awamu ya 6 na mambo mapya hakuna kuoneana.
Maendeleo hayana vyama!