Nimeiona hii katika Mtandao wa ‘Intellectuals ‘ wa Barani Afrika je, wapo sahihi?

Mbona unalazimisha tuwakubali ,Mimi siwakubali hao wasomi wa afrika unavodai,kwasababu hujaonyesha wamewakubali katika lipi,kwasababu kunavipengele vingi ktk ongozi sijui wao wameangalia nn...nikweli afrika inahtaji marais dikteta uchwaraz,au nn wameangalia
 
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
Ifike mahali tujivunie kuwa na TAASISI IMARA na siyo 'MTU IMARA'.Watu huja na kupita bali nchi hudumu daima.
 
Kwenye hilo jopo la ma intellectuals Kabudi yule profesa wa jalalani yupo?
 
siasa za kiafrika zimeathiliwa sana na udicteta wasomi uchwara kuabudu udicteta" sishangai kusikia wasomi wakiabudu madicteta sugu kuwa ndio wakombozi wao, mtu ata africa yenyewe haijui vizuri eti awe waziri mkuu. kha shit.!

unashindwaje kujua kwa sasa kuwa viongozi bora ni waziri mkuu wa Ethiopia na Rais wa Kenya uhuru Kenyatta?
Huyu wa ethiopia ambae raia wake kila siku wanakamatwa hapa bongo kwny maroli?

Huyu huyu wa ethiopia ambae majuzi wapinzani walitangaza mkutano wa hadhara kupinga sera zake na yeye akaona sio inshu akatuma police wasitishe huo mkutano eti kutakua na hafla ya kumpongeza baada ya kuchukua tuzo ya nobel itakayofanyikia kwny huo huo uwanja?Ana tofauti gani na madikteta wengine?
 
mtu ameshindwa kufanya biashara ya korosho tuu tena kidogo mnamfikilia kwamba anaweza kuongoza africa? tuwe na aibu! Magufuli sio mtu mwenye vision! hana muda wa kufikiri! ni hatari kuwa na kiongozi asiye fikiri.

GENTAMYCINE nakuaminia sana ila kuna wakati mahaba yanakuzidi utashi!
 
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
Kabla ya kukubaliana na hayo mawazo kuna vitu inatakiwa uanze navyo kwa analysis ambayo nitakupa validation
1.ushirikishwaji wa mtandao wenyewe unaupana kiasi gani na wangapi wameshiriki ina maana watu wote wameona mabest wawili ndiyo models wote wakatizama maziwa makuu walivutika na nini je nchi zao zinauchumi bora africa,demokrasia ikoje,utajua hii ni propaganda
2.chunguza Tabia za hao wawili zikoje wote ni one man show hawaamini katika kujenga tasisi imara,wote ni watu wa kijisifu kabla ya nisubiri kusifia wote wanazalisha wakimbizi wakisisa na kiuchumi utajua hawa jamaa wamepiga propaganda
3.analyse popularity ya nchi wanao tawala katika east afrika nchi popular leading economy ni Kenya kipi kimewauza hawa wakati nchi zao hajulikani hiyo nyingine bila mauwaji ya kimbali hata mimi nisingeijua kiundani.nimekwenda kichimba historia yao baada tukio lile
Ukitembea nchi nyingi utajua thamani ya kiatu unachotembelea na ndiyo kinabrand mtu ukitamka tanzania ili umsaidie kunielewa lazima utajua Kenya Acheni propaganda nafanya watu walale wakidhani wamefika mwisho
 
Mmmmh hao unaowaita wasomi nadhani ni wasomi FAKE

Back
Top Bottom