Nimeiona hii katika Mtandao wa ‘Intellectuals ‘ wa Barani Afrika je, wapo sahihi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,454
108,563
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
 
Unadhani jiwe anaweza kukubali kuwa pm ? Sio tu wa Bara la africa hata umpe upm wa dunia yote he will most likely decline na hata akikubali siku ataomba awe papa, yani yule mtu hapendi kuwa chini ya mtu,na hats sera zake zitaleta viticulture,unadhani wakenya watakubali kutopandishiwa mishahara ?
 
AAAH BASI SAWA ILA KWA AFRIKA HII NI NDOTO KUUNGANA

Tukiamua chini ya Marais Kagame na Magufuli huku wakisaidiwa kwa mbali ' Kiushauri ' na GENTAMYCINE itawezekana kabisa na tena kwa haraka sana Mkuu. au hutaki na huamini?
 
Hoja ya JPM kuwa Waziri Mkuu ni sawa. Hata hapa kwetu angekuwa ni Waziri Mkuu bado ingekuwa ni nafasi nzuri kiutendaji kwake.

Kwa Cheo alichonacho JPM Sasa hakuna wa kumpunguza spidi au kumuelekeza.
 
siasa za kiafrika zimeathiliwa sana na udicteta wasomi uchwara kuabudu udicteta" sishangai kusikia wasomi wakiabudu madicteta sugu kuwa ndio wakombozi wao, mtu ata africa yenyewe haijui vizuri eti awe waziri mkuu. kha shit.!

unashindwaje kujua kwa sasa kuwa viongozi bora ni waziri mkuu wa Ethiopia na Rais wa Kenya uhuru Kenyatta?
 
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
What a shame! Tuwashukuru kwa lipi hasa walilofanya?
 
siasa za kiafrika zimeathiliwa sana na udicteta wasomi uchwara kuabudu udicteta"

unashindwaje kujua kwa sasa kuwa viongozi bora ni waziri mkuu wa Ethiopia na Rais wa Kenya uhuru Kenyatta?
Unaongea na nani mkuu? Mods tu wangetusaidia kuhamishia hii mada chit-chat
 
Cite source.
 
Ulishawahi kujiuliza ivi D. T ange deal na front runners wa hillary Clinton au wapinzani wake na wale walio against na yeye unadhani marekani ingekaa kuitwa the great nation..

Tujiulize ni wapi tunakosea na tunaitaji mtu wa namna gani
 
Inafurahisha saana kuhusu IQ kubwa za hao wawili kwa vigezo vya INTELLECTUALS husika. Tumejaaliwa sana, thanks GOD!
 
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
KAGAME BADO ANASUMBULIWA NA TUVIKUNDI TWA WAASI HAWEZI BADO KUONGOZA BARA LA AFRIKA!

Labda Uhuru Kenyatta na CYRIL RHAMAPOSA!
 
Nachokijua tu lengo lako ulitaka kumtukuza Kagame na wanyarwanda wenzako! Umejaribu kumingiza Magufuli kama njia pekee ya kupata uungwaji wa mada yako. ALL IN ALL MAGUFULI IS THE BEST huwezi kumfananisha na Paka anayeongoza jimbo
 
siasa za kiafrika zimeathiliwa sana na udicteta wasomi uchwara kuabudu udicteta"

unashindwaje kujua kwa sasa kuwa viongozi bora ni waziri mkuu wa Ethiopia na Rais wa Kenya uhuru Kenyatta?
Kenya hali ni mbaya kiuchumi kwa sasa kuna baadhi ya makampuni yanapunguza wafanyakazi
 
Katika huo Mtandao ambao unajumuisha Watu ‘ Wasomi ‘ wakubwa kabisa waliopo ndani ya Bara hili la Afrika ambapo mjadala mkubwa kwa hivi karibuni ulikuwa ni Kupendekeza Majina ya Viongozi Waandamizi ( Rais na Waziri Mkuu ) wa Umoja wa Bara la Afrika ambao ‘ Wasomi ‘ hao wameona kwa Juhudi zao wanazozionyesha kama wakipewa ‘ dhamana ‘ basi watalifanya Bara hili la Afrika lifanikiwe na hata kuweza Kushindana na Mabara mengine makubwa Kimaendeleo.

Wasomi ( Intellectuals ) wamependekeza kuwa kama kutakuwa na Umoja wa Bara la Afrika basi Rais awe ni Rais wa Rwanda Ndugu Paul Kagame na Waziri Mkuu wake awe ni Rais wa sasa wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Na sababu zao ni kadhaa tu ambapo wanasema IQ Kubwa ya Kagame italifanikisha Bara hili Kimaendeleo huku Uthubutu na Utendaji wa Kutukuka wa Magufuli utawafanya Waafrika Kuamka, Kujituma na Kupambana vyema na Wazungu kupitia Rasilimali zetu na hatimaye tutawashinda.

Kitu pekee nilichokigundua ni kwamba kumbe hakuna Marais wa Barani Afrika wanaopendwa na kukubalika mno na Wasomi ( Intellectuals ) wa Kutukuka kabisa kama Marais Kagame na Magufuli na huwa nawashangaa mno baadhi ya Waafrika wengine walio karibu nao Kijiografia wakiwa wanawachukia wakati yawezekana wao walitakiwa wawe ‘ very proud ‘ kwa Kuongozwa nao au kuwa nao karibu huku.

Kuna Wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu fulani hivi niliwahi Kukutana nao katika ' Kongamano ' moja katika Mkoa Mmoja hapa Tanzania na katika Kubadilishana Mawazo ' walinishtua ' mno hasa pale karibu wote waliponiambia hakuna Viongozi ambao wanakubalika na wanazungumzwa sana katika nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli na wakasema kuwa kama kuna Bara ambalo kwa sasa ' limebarikiwa ' kuwa na Marais makini, werevu na wenye Uchungu hasa na nchi zao na Bara hili basi ni hawa Wawili pekee.

Binafsi kama GENTAMYCINE nakubaliana nao hawa ' Intellectuals ' wa Barani Afrika tena kwa 100% zote sijui Wewe Mwenzangu unasemaje. Na pia nitashangaa sana kama Wewe unajiita kabisa ' Intellectual ' wa Kitanzania halafu usikubaliane na hawa ' Intellectuals ' wenzako wa Bara hili ambao Maoni / Michango yao huwa inakubalika na hata ' Analysis ' zao juu ya ' African Issues ' huwa zinasomwa na wengi na Kukubalika pia. Kuanzia leo Watanzania, Wanyarwanda na Waafrika kwa ujumla tuwashukuru akina Kagame na Magufuli.

Nawasilisha.
Tatizo ni hao intellectuals wa kiafrika. Wao wana amini katika uongozi wa kutumia misuli, na majeshi katika kufanikisha mambo.
 
Tukiamua chini ya Marais Kagame na Magufuli huku wakisaidiwa kwa mbali ' Kiushauri ' na GENTAMYCINE itawezekana kabisa na tena kwa haraka sana Mkuu. au hutaki na huamini?

Weka hiyo link tukaone na sisi badala ya kujadili maoni ya third party. Hata hivyo viongozi hawa ni wazuri pindi watakapoongoza makondoo, kwenye bara hili la Afrika ni vigumu kupata wananchi makondoo wote kama walioko kwenye nchi za hao viongozi wawili. Tusiende mbali, kwa mfano hapo Kenya tu huwezi pata mazoba wa aina iliyoko hapa.
 
Back
Top Bottom