Nimeingia TRA nimeambiwa TIN laki na nusu. Je, wako sahihi?

Mkuu hujatapeliwa.. Umeambiwa Tin kwanza mengine baadae ukataka bei ya jumla utakayolipa.. Hiyo laki na nusu ni kodi yako ya awali utayoipa amekukadiria then baadae itapanda kadri biashara itavyokua..
Tin ni bure.. Laki na nusu ni kodi sababu biashara ndo inaanzaanzamwisho wa mwaka ukipeleka hesabu watakupandishia itakua laki tatu na elfu kumi na nane.. Hivohivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIN ni bure ofisi zote za Tra kama hutaitumia kwa biashara mfano kwenye mchakato wa kupata driving licence. Afisa huyo yupo sahihi alikujibu kulingana na itaji lako la kuanza kufanya biashara.
Ukianza biashara lazima Tra wakukadilie kodi utakayoanza kulipa kwa mwaka ambayo ni 150,000/= kwa kuanzia na utailipa kwa awamu nne. Awamu ya kwanza kuanzia Januari-March hutalipa 37,500/=, awamu ya pili Aprili-June hutalipa 37,500/=,awamu ya tatu Julai-Septembe hutalipa 37,500/= na awamu ya mwisho ni Octoba-December hutalipa 37,500/=. Hivyo basi jumla inakuwa ni 150,000/= kwa mwaka, ila kama unafedha unaruhusiwa kulipa zote kwa mkupuo.
Hii ni kwa biashara isiyozidi turnover ya Tsh 4M kwa mwaka.
Mwaka unaofuata wataangalia biashara kama imekuwa wanakuhamishia kwenye kiwango cha cha TSH 318,000/= kwa mwaka.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ubarikiwe

Wee ndio umeongea point, nilikua nimelewa ila pombe imekata
 
TIN hutolewa bureee. Labda kama ni biashara mpya umeenda kusajili TIN, ukakadiriwa mapato..so wanataka ulipe makadirio na upewe TIN yako na hatimae ukapewe leseni. ILA KUWA MAKINI KAMA NI VISHOKA HAO NI HATARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good news is u can apply now for a TIN online and get ur TIN right away mfumo ni mpya unachotakiwa kuwa nacho ni NIN tu na vitu vyote unaweza fanya mwenyew w/out any TRA officer
 
Back
Top Bottom