Nimeingia leo

cjmm

Member
May 26, 2009
5
0
Wenyewe humu ndani: Kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili nikiwa kama member. Nimekuwa nikisoma kwa mda mrefu sasa bila kujisajiri leo nimefanya hivyo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kushiriki utowaji mawazo napenda kuomba ushauri kitu kimoja kutoka kwenu. Mimi ni graduate wa UDSM BA, ninarafiki yangu huko USA nilipata kumtembelea mda fulani. Sasa kanipatia offer ya kunisponsor kwenye chuo ambacho kiko katika city anayoishi. Chuo husika kimempa offerya kunilipia in-state fee. Tatizo sasa ni kwamba hakina master's d. programs na inavyoonekana jamaa yangu anapendelea zaidi nisomee pale. Ili kupunguza living costs kasema nitaishi na familia yake yenye mme, mke na watoto watatu. Je, nisome another undergr.d japokuwa ukweli fani niliyoisomea UDSM siipendi? UDSM niliondoka na degree ya heshima yenye ufaulu wa kiwango cha juu je nisiendelee nayo? Umri nao unaenda, je nifanyeje? Natarajiwa kujiunga next fall 2009. Tayari I-20 nimeipata mei 23.
 
Kwanza karibu jamvini. Pili, ningekushauri useparate hili bandiko, moja liwe la kujiintroduce na lingine la kuomba msaada wa ushauri.
 
Karibu sana kweney Jf. KWani wewe unataka kusoma nini? au ulikuwa unapendelea nini? Hiyo miaka 3 ya kurudia bachelor kwanini usingefanya Masters ya kituunachotaka? kama unaona itakuwa ngumu anza na Post g then ndiyo master ila sioni hya ya kuanza tena bachelor labda kama unapend atu kwenda mamtoni.
 
Mkulu karibu sana JF where dare to talk openly. Achana na wanga wanaotaka kusema sijui u=separate nini sijui nini. Wewe bana kama unapata nafasi ya kwenda States usiilazie damu, do whatever it takes kuchukua hiyo opportunity, opportunity never comes twice mkuu. States ni kila kitu mazee, don't get twisted..bongo kuzinguana kwa sana.

Again, karibu jamvini.
 
Karibu sana, sio vibaya kuwa na degree za kwanza mbilimbili. Nenda huko bwana usije kuipoteza nafasi hii adimu wenzio wanaomba kila kukicha wapate lkn hawapati.
 
Nawashukuru sana wapendwa kwa michango yenu, sasa nimepata pa kuanzia. Pia nashukuru kwa kunikaribisha.
 
Hey cjmm, kama umepata chance ya kwenda huko USA we nenda tu, kusoma degree ya pili hakuna tatizo lolote na isitoshe umeshasema degree uliyonayo ya UDSM huipendi we nenda US na usome degree unayoipenda ww.
 
Back
Top Bottom