Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaonaje ukiwa kiongozi WA hayo yote alafu uwamege๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Tatizo kusoma magazeti na kuchat kwa simu kunako 6X6 km gogo vile
mm nataka zile za popo wa covid kanyea dari, mbuzi kagoma nk
WAO HAWATAKI DHAMBI utafikiri walimuona Eva akimpa tunda Adam
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ

Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,

Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo

Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka

Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.

Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole

Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga

Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...

Money penny: enhe, ikawaje?!

Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.

Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!

Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblock๐Ÿšถ

Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!

Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Chezeiya Mungu anakuona wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
View attachment 1448231
jaman jaman story zingine hizi dah kuweni serious kidogo, nimecheka hatar
 
Write your reply...DAAH WALE LABDA WAKUELEWE WEWE ILA NSHAWAHI KUMSOUNDISHA MMOJA KIBISHI BISHI AKAINGIA LAINI ILA KUTOA TUNDA DAAH UTASEMA NILIKUWA NIKAMA VILE MUHITIMU UALIMU SHAHADA YA SANAA ANAENGOJA AJIRA SERIKALINI HUO MCHAKATO ULIKUWA MREFU SANA

NIKAAMIA HADI KANISA LAO MAMBO YA MIKESHA KWENDA NI YAKE YAANI USIOMBE NIKASEMA KAMA KUKU NI WAKO ATAINGIA BANDANI TU MAANA DAAH SIJAWAH FUKUZIA PAPUCHI KIBISHI HIVI NIKAINGIZA STORY ZA KUMUOA AKAINGIA KINGI

SIKU MOJA NIKAJIFANYA NPO MAGETON NIMEZIDIWA NAUMWA ALIVOKUJA NIKAANZA UCHOKOZI ALIANZA KUKATAA LAKINI SHETANI NI SHETANI TU AKAINGIA KINGI NIKATAFUNA BAADA YA HAPO AKAWA ANAILETA MPAKA BASI YANI NON STOP SUPPLY OF PAPUCHI SOMETIMES ANAAGA ANAENDA KANISANI ANAKUJA KUSHINDIA MJALUBENG DAAH ACHA TU

ILA KAMA KAWAIDA NIKAMPIGA CHINI NB : HUA HATUACHI TUNAPUNGUZA MAWASILIANO TU HALAFU TUNATOWEKA
daah unazingua kweli alooh, unamoyo kweri wa kufukuzia ongela
 
Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ

Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,

Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo

Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka

Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.

Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole

Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga

Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...

Money penny: enhe, ikawaje?!

Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.

Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!

Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblock๐Ÿšถ

Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!

Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Chezeiya Mungu anakuona wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
View attachment 1448231
NACHEKA PEKE YANGU MPAKA RATIBA INAANZA KUVURUGIKA HAPA GHETOMAANA HUU UZI HAUISHI HAMU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom