Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days

Sep 10, 2013
335
471
Nimepokelewa.

vizuri sana hapa Shirati na makamanda wakiwa na boda boda nyingi sana,wasafiri wenzangu walistuka maana nilikuwa kwenye (Hiace) daldala,makamanda tushirikiane.

Kesho tutakuwa kata ya Tai,kesho kutwa Ingiri,jumapili itakuwa mjini hapa,kama uko mbali au karibu tushirikiane hasa vijijini kwenye changamoto kubwa.
 
Songa kamanda, fungua mashina na endelea kuimarisha chama...nakukubali kamanda

Wale wa Lumumba tumeshawapuuza na kimewa chao Zitto

Nimepokelewa

vizuri sana hapa Shirati na makamanda wakiwa na boda boda nyingi
sana,wasafiri wenzangu walistuka maana nilikuwa kwenye (Hice) daldala,makamanda
tushirikiane.Kesho tutakuwa kata ya Tai,kesho kutwa Ingiri,jumapili
itakuwa mjini hapa,kama uko mbali au karibu tushirikiane hasa vijijini
kwenye changamoto kubwa.
 
mbowe amekulipa tsh ngapi kumchafua zito?

kanyoe mustach kwanza.
siku sio nyingi utajutia kutumika.
 
Atuambie yupo kambigani wahafidhina au Demokrasia.

zipo kambi tatu katika sisa ninazo zifahamu
1.wahafidhina
2.mrengo wa kati
3.waliberali
Ukiangalia kwa undani Kambi ya Zitto ni waliberali ambao wanataka mabadililo huku wakiacha misingi ya chama.hii ya mrengo wa kati inataka mabadiliko huku ikiendelea kushi katika misingi ya chama.nikiiangalia CDM siwaoni wahafidhina
 
Nimepokelewa.

vizuri sana hapa Shirati na makamanda wakiwa na boda boda nyingi sana,wasafiri wenzangu walistuka maana nilikuwa kwenye (Hiace) daldala,makamanda tushirikiane.

Kesho tutakuwa kata ya Tai,kesho kutwa Ingiri,jumapili itakuwa mjini hapa,kama uko mbali au karibu tushirikiane hasa vijijini kwenye changamoto kubwa.

Kamanda nakuunga mkono ila jimbo hilo linaitwa RORYA SIO ROLYA. Neno ulilotumia ni matusi pale Shirati.
 
Kamanda mawazo uko wap? Mi niko shirati saizi niko hapa samaki bar napata moja moto moja baridi niko na wapiganaji wanataka kukuona. Uko wap kamanda?
 
Kamnda Mawazo

Hakika tu pamoja mwanzo mwisho na nakuhakikishia ya kwamba hakuna kulala mapaka kieleweke.

Na Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Baraka awatangulie mwanzo mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Fikisha kwa wananchi mesage zifuatazo
(1)Next election wachague viongozi wasomi,waache njaa wachague viongozi competent, mwenyekiti wa CCM ni darasa la 4 , mbunge darasa la saba, mwenyekiti wa council ochele oguto darasa la 2 waambie elimu ni msingi wa maendeleo.(2) waambie mbunge wa Rorya na mwenyekiti wa Rorya ni wezi wanaiba mifugo na vyakula vya msaada wanasafirisha kwenda kenya.(3) wachague viongozi wenye uwezo wa kuchangia agenda za kitaifa (4)miaka 4 ya ubunge wa lameck Airo hajafanya chochote cha maana zaidi ya kutengeneza bara bara za changarawe (5)Ni aibu shule zote za kata jimbo la Rorya hazina labaratory wala librarly (6) willaya ya rorya ni miongoni mwa wilaya chache ambazo hazina high level ni haibu kwa wilaya yenye wasomi kama Rorya kukosa high school (6)waambie kuna fungu linaitwa CDF ni fedha za serikali zinaenda kwa ajili ya maendeleo ya jimbo kupitia ofisi za mbunge hizi fedha mhe Airo hazipeleki badala ya kufanya development Airo anazitumia hizi pesa kuwapa akina mama , vijana na wazee pombe ,na chumvi zingine anaingia nazo mitini kutokana na elimu duni (ignorance) wananchi wanaamini kuwa hizo fedha ni za Airo kumbe sivyo ni fedha za serikali zinazopelekwa jimboni kwa ajili ya maendeleo.kamanda naendelea kukupa nondo
 
Back
Top Bottom