Wakati nikitafuta kivuli ili nijisitiri kwa jua hili kali nimejkuta nimekalia kuti kavu baada ya kupendwa na shemeji yangu.Kisa hichi kimetokea baada ya kupeleka maombi JF kumbe shem nae ni mdau mkubwa wa janvi.Sasa ugomvi mkubwa kwa wapenzi hao haushikiki nashindwa hata kumwangalia shem usoni make alivyojidekeza kabla hajajua kua mi ni nani?