Nimeimba wimbo huu, najua kuimba au sijui, naomba ushauri

Unajua kuimba ila acha kuibana saut, umeibana saut sana na kama ingekuwa live Kwa uimbaji huo hutoweza Ku perform hata dakika 10 mfululizo

Iachie saut ili pumzi isikupe shida
 
Habari wanajamvi. Kuna wimbo huu nimeufanya Home Studio. Nipo mbele yenu kuomba ushauri wenu kama naweza kuimba au siwezi nirudi kijijini nikalime.
Kama utatokea kupenda nilichofanya usisahau KuSubscribe Youtube Channel yangu na kama Hutapendezwa kuwa wazi kuniambia nilipokosea.

Asanteni sana

ID yako sijaipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom