Nimeikubali

Kuwa salama kwa japo 70% Lock na "Settings" pia kwenye simu yako. Vinginevyo mtu akiingia tu kwenye settings aka i Stop Running/Force close ataweza kuingia kwenye App ulizozifunga kiulaiiini.
 
Unaweza ku-hide mtu hawezi kuiona ataitaifuta kote, mpka upige **##123**## (mfano wao)
 
Kuwa salama kwa japo 70% Lock na "Settings" pia kwenye simu yako. Vinginevyo mtu akiingia tu kwenye settings aka i Stop Running/Force close ataweza kuingia kwenye App ulizozifunga kiulaiiini.

Apana mkuu ina op ya kuiwezesha kama app device manager,ambapo inapata uwezo wa kuwa uninstaled,force closed n such a thing.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom