Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia inamwendo mrefu na visiki vingi, usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika, CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma m,wisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo tanzania Nzima tunajipanga kiswa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM

CDM Tunafanya hatulipi fadhila kama nyie na CCM.Nani hajui uroho wa madaraka unaowaandama ninyi na kina Hamad hadi kufikia hatua ya kutaka kupindisha sheria ili mue kwenye kambi rasmi ya upinzani???
 
Julius Mtatiro ni miongoni mwa wanasiasa wachache sana nchi hii walio makini, wakweli na wanaoweza kutembea kwenye maneno yao.

Wanasiasa wengi tulio nao kwenye vyama vyoote ni wapiga domo tu wanaotafuta maisha kupitia siasa, kama tunataka tutoke hapa tulipo tunahitaji wanasiasa wengi zaidi wa aina ya Mtatiro, nakuunga mkono kijana...
Toka lini amekuwa kitembea kwenye maneno yake? Ameshindwa kusiamamia lile aliloahidi kuhusu kujiuzuklu kwa waziri wa miundo mbinu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kutoka CUF kutokana na uzembe uliosababisha meli ya MV Spice Is;ander kuzama na kuua maelfu ya watu.
 
Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia inamwendo mrefu na visiki vingi, usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika, CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii.

Watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma mwisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo tanzania Nzima tunajipanga kiswa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM
Mkuu, wenye mawazo kama yako ndio siku zote wamekuwa wakiiua CUF bila kujijua!! Naiheshemu sana CUF kwa kazi nzuri walioifanya mpaka kuifikisha Demokrasia hapa ilipo.

Ila lazma tukubali, CUF kuna mahali ilipokosea na ndo maana inaporomoka kila kukicha! Ikiwa kama viongozi wa CUF wana dhamira ya kweli ya kukijenga chama, lazma wakae chini na wajadili kwa makini wapi walipokengeuka. Kama kuna kosa baya zaidi ambalo CUF wanaendelea kulifanya, ni kupambana na CHADEMA, tena kwa kutumia propaganda za ki-ccm, za udini na ukabila!

Tafadhari msifanye dhambi hii, itakitafuna chama! Jiulizeni ni wana- Igunga wangapi hawakutii amri ya Bakwata na asasi nyingine za kiislam? Msipambane na CHADEMA, pambaneni na CCM na mtashinda...
 
Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia inamwendo mrefu na visiki vingi, usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika, CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma m,wisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo tanzania Nzima tunajipanga kiswa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM

Mara tu ushaanza kuleta ukabila na udini, hakuna mahala popote Mtatiro amewataja Chadema hapa, wewe umewatoa wapi? Hata mpinzani wako humjui? mkiambiwa ukweli mnakasirika, acha kuwaangusha wana CUF wenzio.
 
Mtatiro

Mimi si mpenzi wa CUF lakini nina masilahi na CUF(siri yangu), ninachotaka kusema hizo document hazitakusaidia, maana mtu yeyote anaweza kuzitengeneza watu wanapata muhuri wa ikulu sembuse headed letter ya chama. Ninachokiona katika suala hili sana sana zitazidi kuibua mengi ambayo yalikuwa yamejificha, watu wataanza kuuliza vikao vilivyopitisha wazo hilo, watahoji je hasara italipwa na nani (watu watawajibika kwa hili?), watahoji kwanini ume expose document za siri za chama nk nk.

Tuachane na documents, ukweli huko nyuma CUF ilikuwa na nguvu sana maeneo ya kanda ya Magharibi Mwanza,Shinyanga,Tabora,Kagera na Mara nguvu yake ilianza kupungua wakati wa mwafaka wenu na CCM kwa vile viongozi wake hasa wa visiwani walijali maslahi ya Zanzibar zaidi kuliko ya bara ofisi nyingi za bara zikasahaulika watu wakakata tamaaa, na hivi sasa kitendo kinachofanywa na viongozi wa CUF ukiwemo wewe kuilaumu Chadema badala ya common enemy CCM ndicho kitakachoizika CUF na kufutika kabisa huku bara. Mwenyewe umejionea watu wa Igunga walivyowaadhibu kwa kitendo chenu hicho, mnachotakiwa si kulaumu kuwa mnaitwa CCM-B ni kuwaonyesha wananchi kwa vitendo kuwa nyie si CCM-B.
 
Kaka JM jaribu kupunguza hasira bana,halafu sasa nimeanza kuona kuwa elimu uliyopata mpaka sasa haikusaidii chochote ktk maamuzi yako...
Unajua mwanzo nilikuona kama mwanamageuzi enzi hizo ukiwa pale UD lakini sasa umeanza kuonyesha ni kwa jinsi gani wewe ni hohe hae wa mawazo....

Karibu CDM,ili usiwe na tamaa ya madaraka maana taratibu ndio mwendo ndani ya CDM.....Prof IL hana sera zozote zaidi ya kiburi cha vyeti vya elimu..Anakupoteza kijana,kwa nini yeye asigombee walau ubunge mara moja ili atoe mchango wake wa hizo elimu zake pale mjengoni?
 
Wakuu vipi hii iko sawa?

Tarehe ya kusaini so called contract

2v84wua.jpg


Tarehe ya kuomba vibali na tarehe za kutaka kutumia helkopta

20uxthx.jpg


My Take:

1. Unasainije contract wakati vibali hujapewa????????????????????

2. Contract siku zote inasainiwa na pande zote mbili hii yako vp?

3. Kwa nini hiyo so called contract imesainiwa page ya mwisho tu ambayo haina maandishi yeyote, mkataba wa hela husainniwa kila page, yaani hata akina Komyuhendo wanakushinda kufanya forgery?
 
Nahisi umetumia jazba kujibu tuhuma husika. Ungetulia ungeweza kujibu kwa ufasaha zaidi. kwenye nyaraka ulizoweka kunaneno hili iliweza kulisoma?

A CLASSIFIED DOC,
DO NOT EXPOSE,
VERY CONFIDENTIAL.

Nilitegemea kihasibu ningekuta risiti yenye jina la chama chako na cheque namba ya chama chako uliyofanyia malipo. Kama malipo ni taslimu nahisi kunaukwepaji wa kodi umefanyika. Inawezekana kulipa kwa mlinganisho wa gharama ya dola kwa siku husika.

Ukiwa kiongozi umewezaje kuruhusu malipo ya milioni 50 kwa kazi moja tu ya helcopta? unaweza kulipa watendaji waliokuwa Igunga kwa kiwango kinachoridhisha?

Tukikukabidhi mradi mkubwa kwa jinsi hii si unaweza kuhizinisha malipo hata kama kazi husika haina manufaa kama ulivyofanya bila kupima?

Unawezaje kuidhinisha malipo kama haya bila kuwahirikisha watendaji wengine katika jambo linalohusu jumuiya kama chama?

Fikiria tena katika hili kwa kuwa unaweza kuwa mlipaji lakini mtoaji akawa hata Tajiri yeyote, chama chechote au huyo aliyetajwa
 
wAKIKUSUMBUA RUDI CHADEMA NA UOMBE RADHI KWA WATANZANIA, UKIRUDI CHADEMA SEMA HIVI 'BABA YANGU NIMEKOSA, KWANI NINASHIRIKI NA NGURUWE, NITARUDI NAKUSEEMA, NISAMEHE BABA YANGU CHADEMA' KWANINI KUAABIKA NA KUSUMBUKA WAKATI NYUMBANI KWA BABA YANGU CHADEMA WANAHOJA NA KUKUBALIKA, MALIZIA KWA KUSEMA 'BABA YANGU CHADEMA NISAMEHE'
 
Mkuu Mtatiro,

Hii document unayooiita - "Helicopter Confirmation, payment details and signing contract" nini hasa?

1. Ni contract ya kukodi helikopta?

2. Ni Invoice?

3. Ni Quotation?

23w0awj.jpg


Which is which?
xpzskk.jpg


My Take usi-iunderestimate JF, kama nilivyosema mwanzo, ur tyme is up u need t dissapear in a thin air. Baadae narudi kuichambua hiyo kampuni yako ya ukodishaji helikopta
 
Mtatiro utalia sana, ila kitu kimoja unatakiwa kukijua ni kwamba huko uliko sio kwenyewe na unatakiwa kusoma alama za nyakati. Huko uliko sio kwenyewe, jiunge na chama kinachoongelea maslahi ya kundi kubwa na lenye maamuzi ya kisiasa hapa TZ. We endelea kulalamika, hata vijana wenzio tunakushangaa sijui unapata nini huko.

CUF ni mke wa CCM wewe endelea kubisha lakini ukweli ni huo, hata 2015 utalia tena zaidi ya hapo, CCM imefunga ndoa na CUF tena ya kikristo na hamuwezi kuchomoka. Tuletee na Bank Statement tuone ni kiasi gani Rostam na CCM huwa wanawaingizia kila mnapoisema CDM majukwaani ndio tutakuamini. Hizo documents mbona yeyote anaweza kuzitengeneza!

Mkuu ukiendelea kuwa huko CUF na hiyo ndoa ya CUF na CCM ikiendelea kuwepo, sahau kuhusu kuwatumikia wananchi wa Tanganyika, labda uende huko Zanzibar kugombea ubunge ndo unaweza kueleweka sio huku bara ambako vijana hawataki upuuzi. Ulipaswa kujiuliza CUF mmepata wabunge wangapi Tanganyika, na kwa nini imetokea hivyo? Ni kama umekwisha kisiasa, hamia kwa vijana wenzio mkuu, vinginevyo utalia miaka nenda rudi!
 
Mtatiro kama wanasema wewe ulichukua pesa za Rostam mimi wala sioni tatizo mbona wao mwaka jana walichukua pesa za SABODO kada wa CCM.Kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Ahaa acheni hizo CHADEMA
Mtatiro hajakiri kuchukua pesa kwa RA, Chadema ilikupokea pesa za Sabodo kwa uwazi kabisa tena mbele ya kamera za waandishi wa habari na picha zipo kama unazitaka.
 
Hahahahaaaaaaaaa! Mtatiro kwisha habari yako, hamia CDM weweeeeeeeee! Phew! Ona unavyohangaika kujitetea haisaidiii mkuu, hama hicho chama, hao wazee watakuzeesha nawewe ukajikuta unaanza kuwaza, kufikiri na kutenda kama wao. Mweeee!
 
wewe ni waleo tuulize wajana tunaomjua vizuri huyo bwana mdogo toka mlimani akisoma degree yake ya ualimu, hata kwenda kugombea ubungo napo aliwekwa ili kupunguza kura za chadema lakini peoples power waliongea....na bado mpaka aote mvi huyo bw mdogo chadema ni moto mwingine sio level ya cuf anymore...

...Kumbe unaishi kwenye Nchi Ya Kusadikika??funguka!!!
 
Mke anapopewa fedha na mme na kununua gari na kuandika jina lake kwenye documents zote haimaanishi kuwa hajanunuliwa na mme wake....!

Kweli mkuu, na safari hii CCM imeonyesha mapenzi ya dhati kwa mkewe CUF. MPENDE MKEO BANA
 
Mara tu ushaanza kuleta ukabila na udini, hakuna mahala popote Mtatiro amewataja Chadema hapa, wewe umewatoa wapi? Hata mpinzani wako humjui? mkiambiwa ukweli mnakasirika, acha kuwaangusha wana CUF wenzio.
Mkuu usipoteze muda wako kumshauri mtu kama huyu, Jina lake linasadifu anachokiandika na ninafurahi kuona watu wengi wa CUF wanakosa political maturity kwa kufanya siasa za maji ya chooni dhidi ya chama kingine cha upinzani na hili nalifurahia kwa sababu mwisho wa siku kura zinapohesabiwa kwenye kituo CUF wanapata 0 kabisa na hili linadhihirisha hata wakala wa CUF anayesimamia kura za CUF kituoni hapo hapigii kura CUF. NIna uhakika 2015 CUF inazikwa rasmi.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom