Nimeifuma ndani ya Blog moja ya wakenya Ni vizuri muwajibu.

Vijana kwani tatizo liko wapi wakati wakenya wanasifia dada zenu?? Ukweli ni kwamba wanaume wa Kenya wanawapenda sana dada zetu, wanasema wanawake wa Tz ni humble si rungu mkononi kama wakenya.
 
Vijana kwani tatizo liko wapi wakati wakenya wanasifia dada zenu?? Ukweli ni kwamba wanaume wa Kenya wanawapenda sana dada zetu, wanasema wanawake wa Tz ni humble si rungu mkononi kama wakenya.
hahahahahaha, wanalitambua hilo eeh...sawa kabisa....
 
weeeeeeeeeee hold your horses....i can do both yori yori ..food and s**.....diont generalize!!!!ahahhahahhaa
 
Huyo mmoja kanichekesha kweli, eti numberless anafanya asikie rungu yake yatingika kama ile ya Moi! Au kifimbo ya mwalimu? teh teh teh! Kaazi kweli kweli.
 
ila wamesema kweli hata ukiangalia Uganda, Kenya na Tz mashori wa wapi wakali? hapa kuweni wakweli jamani
 
kupenda maakuli ya kujing'ata ulimi si dhambi jamani... waacheni wanaume wa watu waje kujipatia wali wa iliki na nazi na michuzi mizito mizito ya binzari, mdalasini na kadhalika
 
Back
Top Bottom