Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Aisee kama zari alfajiri hii kumi na moja ya leo kushituka napokea sms ya kuombwa buku tano na manzi flani hivi ya mtu, mtoto mashalah kama pisi ya willium kiasi kwamba nilikuwa nahofia sana kumtongoza kwa ule muonekano wake na jinsi alivyojazia,(tunakaa mtaa mmoja)

Sasa leo si Ndio kanitext anaomba nimback up buku tano amekwama anataka kuongezea kupeleka kwenye marejesho yao vikoba saa mbili,
"naomba tena naomba sana ata kama kunikopea sawa nitakurejeshea, nimekwama sana ndugu pliz" hii ilikuwa meseji yake ya kukazia kwa kile alichokuwa akiomba,

Zero bila iyana nikamjibu tu sawa ila niko na cash tu kwa simu sina hela alafu mawakala wanachelewa kufungua sasa sijui tunafanyaje kama unaweza uje kuchukua hapa kwangu muda huu kabla ya saa moja,
Kwa maana nina ratiba za kwenda mjini kuchukua viazi, nyama na tray za mayai "kwa ajiri ya pale kiwandani kwangu"

Alinijibu tu ok"nikajua labda amepotezea ",
ila mida kama ya saa kumi na mbili hivi saa moja kasoro napokea text amekaribia nitoke ili nimpatie hiyo hela nikamjibu sawa,

Alivyofika tu, nikamkaribisha ndani na kumtania aje ata atie baraka tu tunywe na chai maana nilishapika ninywe ili niende maangaikoni,

Mtoto akajichekesha chekesha mwisho akazama ndani.

Kama utani akafikia kitandani wandugu, "gheto sina kochi"

Nikatoa buku tano nikampa kwa mkono then nikakisi kiganja chake ndio ikawa kama nimemroga,
Nikamuona tu anatabasamu nikazuga kama nataka nimbusu shavuni akanisogezea mie huyu nikauturn mdomoni si akapokea ndio mchezo ukaanzia hapo.

Nikajichakatia zangu kadhaa kwa ustadi kabisa, mwisho nikamwambia sorry kama nilikuwa nimefanya kosa,,
Akaishia kujichekesha tu mwisho akasema usijari mimi mwenyewe nimeinjoi sema tu nina ratiba zingine na wewe pia,
Tafuta muda na siku nzuri ya kuinjoi zaidi mi na wewe, akanibusu huyo akafungua mlango na kutoka.

Sikuamini kwa kweli kama nimemenya pisi niliyoikubari kirahisi hivyo aisee.

Ashukuriwe sana aliyeanzisha hivyo vikoba kusema kweli ameupiga mwingi,

Ameupiga mwingi sio utani.

Cc Zero IQ.
 
Zero IQ huwa nakubali Sana Uzi zako maana lazima nicheke, sofar upo kiwandani unachakata viazi, kachumbari na tomato sauce siyo huku umevaa overcoat lako jeupe na wingi Kama Daktari wa meno mikasi, bisibisi, panga na prier, tupia picha ya hiyo pisi Kali nasi tuichakate kwa macho
 
Mwambie akurudishie hata buku mbili.. Wenzio bodaboda wanazichakata kwa tripu za bukubuku, wauza genge kwa vipande vya nazi na nyanya za mchuzi, wauza nyama kwa kuzidisha robo ya robo na msosi watapelekewa, wauza chipsi ndio kabisaaa, kwa chipsi yai moja tu au mishikaki miwili, wauza mkaa kwa kuzidisha kipimo wanakula mzigo.
 
Nipo kiwandani hapa mkuu naendelea na kazi
 
Mwambie akurudishie hata buku mbili.. Wenzio bodaboda wanazichakata kwa tripu za bukubuku, wauza genge kwa vipande vya nazi na nyanya za mchuzi, wauza nyama kwa kuzidisha robo ya robo na msosi watapelekewa, wauza chipsi ndio kabisaaa, kwa chipsi yai moja tu au mishikaki miwili, wauza mkaa kwa kuzidisha kipimo wanakula mzigo.
Daa kumbe kanipiga mkuu, ila alisema kakopa atarudisha mkuu
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom