Nimeibiwa Vyeti vyangu, naweza kupata vingine??

geza mkali

Member
Oct 13, 2017
13
3
Habari JF,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha IFM, niliibiwa vyeti vyangu vya form six, pamoja na Laptop yangu katika begi, nilikuwa naulizia kuwa naweza kupata vyeti vingine kutoka NECTA?? kwa aliewahi kufuatilia suala kama hili, msaada Tafadhali
 
Necta hapo zamani walikuwa hawatoi vyeti vingine mara ukipoteza vyeti halisi.

Nasikia kwa sasa kuna mchakato unatengezwa ili kuweza kupata vyeti halisi
 
Kama umemaliza form 4 kuanzia 2008 na kuendelea vyeti utapata,ila lazima uanzie police na utangaze kwenye gazeti
 
Habari JF,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha IFM, niliibiwa vyeti vyangu vya form six, pamoja na Laptop yangu katika begi, nilikuwa naulizia kuwa naweza kupata vyeti vingine kutoka NECTA?? kwa aliewahi kufuatilia suala kama hili, msaada Tafadhali
Loss report itakusaidia
 
Back
Top Bottom