Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Kama ni Azam wapigie watakusidia kuna jamaa aliibiwa kingamuzi jamaa aliyauziwa kikaharibika akapeleka azam kutengeneza.siku kimepona azam wanampigia mmiliki akachukue kingamuzi chake hivyo yule jamaa akashindwa kufuata kwasababu majini yake na mmiliki ni tofauti
 
Njoo nikupeleke handeni sehemu moja inaitwa kwamsisi,hivyo vitu vinarudi ndani ya saa 24 na wezi wakishavirudisha vyote wanasahau njia wanawashwa mwili mzima wanajikuna mpaka wanatoka damu,watazunguka eneo Hilo hapo kwako huku wanajikuna na kulia kwa uchungu mpka wewe useme either waondoke lakini umewasamehe au waondoke ila hujawasamehe.Mimi binafsi nilisema waondoke ila sijawasamehe,haikupita wiki wakaugua uchizi,ndani ya mwezi kila mmoja alikufa kwa kifo chake(walikua wanne)
nimeipenda hii nikipata tatizo nao nitakutafuta
 
Ingekua TANGA, Lindi, Mbeya au. Kigoma kweli asingepona mtu. Lkn kwa hapo Moshi! Punguza jazba ujipange Tena.
Ila huyo mama jirani mwenye wowowo na macho mekundu huo mchongo anaufahamu.
Acha matusi wewe, Moshi demu mwenye wowowo ampate wapi?
 
download%2B%25282%2529.jpg

Namna ya kumrudisha mwizi aliyekuibia​

kumkamata au kumrudisha mwizi aje mwenyewe
unamchukua kinyonga akiwa mzima,
unaponda majani ya kisamvu,
unachukua na changarawe za njiani
huyo kinyonga unamuweka kwenye hayo majani ya kisamvu pamoja na hizo changarawe unafunga kwa kwenye kitambaa cheusi
halafu unafunga jikoni kwenye sehemu inayopata moshi
utamuacha hapo kwa muda wa siku7 baada siku 7 unamtoa hapo kwenye moshi unamsaga ukiwa umefumba macho halafu unaenda kufunga kwenye mti kwa muda wa siku7
kabla siku7 hazijaisha mwizi wako atarudi mwenyewe na kama mwizi yupo humo ndani atajisalimisha mwenyewe mara moja Tumia dawa kisha uje utupe Mrejesho wako.
chanzo.Herbalist MziziMkavu.
Huu ni uchawi au ni tiba ya mitishamba kamaunavyoiita
 
Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Pole,lajini ungetuelwza vizuri wizi huo umetokwa mji gani na mtaa upi tunaweza kukusaidia
 
Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Waganga wa kienyeji nn!??
 
Pole sana Mkuu

Piga maombi Mungu atazungumza nao tuu... au kama vipi tafuta mtaalamu haswa awaguse kidogo tuu yatembee barabarani yakijikojolea.

Au yakilala yakose usingizi kazi iwe ni kujikuna hadi asubuhi.
Chief umemix mambo hapo tayali mungu na mtaalamu kwa pamoja🤣🤣🤣
 
Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Lo pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom