Nimeibiwa IST maeneo ya Tegeta kibaoni karibu na KB Bar

Mkuu nifafanulie hicho cha sigara hicho nielewe somo.
Hii ni kwa wale ambao magari yao wameweka tracking devices. kwa sasa, majizi wanatumia vifaa vinavyoweza kuingilia mawimbi ya tracking system ya gari lako. hivyo, huchomeka kifaa chao kwenye hicho kitundu cha sigara kupata umeme wa gari. kama kitakuwa kimezimwa hawawezi kuuingilia mfumo wa tracking ya gari lako.
 
Mkuu wanakifanyaje hicho
Hii ni kwa gari ambalo umefunga tracking system. wezi huweza kuingilia mfumo wa tracking wa gari lako kwa kuingiza kifaa chao katika hicho kitundu cha sigari hivyo kuifanya system ya tracking kushindwa kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom